Skip to main content

Yanga SC kwenda Morogoro kuweka kambi



KIKOSI cha mabingwa wa Tanzania, Yanga SC kinatarajiwa kuondoka leo Dar es Salaam kwenda Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Singida Aprili 1, mwaka huu.
 Tokeo la picha la kikosi cha yanga 2017 2018
Robo Fainali za Azam Sports Federation Cup zitaanza Machi 30, Singida United wakiikaribisha Njombe Mji FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga na Machi 31 kutakuwa na mechi mbili, Tanzania Prisons wakiwa wenyeji wa JKT Tanzania Uwanja wa Namfua mjini Singida na Azam FC wakiikaribisha Mtibwa Sugar Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Wachezaji wote wa Yanga wanapanda basi leo kwenda Morogoro, kasoro wanne waliopo katika kambi ya timu ya taifa, Taifa Stars kipa Ramadhan Kabwili, mabeki Hassan Kessy, Gardiel Michael na Kelvin Yondan na kiungo Ibrahim Ajib pamoja na watatu waliopo timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, wote viungo Maka Edward, Said Mussa ‘Ronaldo’.
 Stars itakuwa na mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na bila shaka mapema Jumatano Kabwili, Kessy, Yondan na Ajib watakwenda kuungana na wenzao kambini mjini Morogoro.

Ngorongoro nao watakuwa mechi ya kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON –U20) Machi 31 Uwanja wa Taifa na baada ya mchezo huo Maka na Side Ronaldo nao watakwenda kambini.  

Yanga inatarajiwa kugeuka Dar es Salaam mapema tu baada ya mechi yao ya ASFC mjini Singida ili kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia Aprili 7 Uwanja wa Taifa.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.