Mrembo huyo ametupa dongo lisilopimika kwenye mzani ambalo
limeonekana moja kwa moja kumlenga baba watoto wake, Diamond kwa mujibu
wa comment za mashabiki ambao wameupitia ujumbe huo.
Zari kupitia mtandao wa Instagram ameweka picha tatu mpya na amendika
kwenye moja ya picha hizo ujumbe unaosomeka, “She is also someone’s
daughter, treat her how you would want your daughter to be treated by
another man. #JustSaying.”
Kutokana na ujumbe huo pia unaonyesha tayari mrembo huyo kwa sasa
moyo wake umechukuliwa na mwanaume mwingine ambaye atakuwa amemrithi
Diamond kiti chake.
Comments