Skip to main content

Baraza la Maaskofu: Uwepo wa katiba inayotakiwa na wananchi katika Taifa lolote lile ndio msingi mzuri wa kujenga na kudumisha amani


Naibu katibu Mkuu wa Baraza hilo Padri Daniel Dulle 

Baraza la Maaskofu nchini limesema kuwa uwepo wa katiba inayotakiwa na wananchi katika Taifa lolote lile ndio msingi mzuri wa  kujenga na kudumisha amani yenye umoja na maelewano miongoni mwa wananchi.
Akizungumza katika ufunguzi wa kongamano la kujadili katiba na amani lililoandaliwa na kituo cha sheria na haki za Binadamu Naibu katibu Mkuu wa Baraza hilo Padri Daniel Dulle amesema kuwa amani hiyo inadumishwa kwa mazungumzo ya pamoja ili kuhakikisha malengo na madhumuni ya kupata katiba mpya inayokidhi kiu ya watanzania inapatikana kwa Amani.
 Aidha amsema kuwa kama wananchi  wengi watakuwa  na uhitaji wa kupata katiba mpya  ni vema mchakato huo ukiibuliwa upya maana katika katika katiba iliyopendekezwa kuna mambo kadha wa kadha yalikuwa yameshaibuliwa amabayo  ni mazuri na yangeweza kutuliza kiu ya baadhi ya wananchi wengi kwenye ushiriki wao katika shughuli zote za kijamii,kisiasa ,haki na amani 
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC Anna Henga amesema ingekuwa vizuri  katiba mpya ikapatikana hata  kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2020 kwa nia ya kumaliza changamoto zinazojitokeza kabla na baada ya  uchaguzi.
Naye profesa Mwesiga Baregu ambaye alikuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba amesema kuwa kiporo cha mchakato wa katiba mpya kilichobaki  hakina budi kufanyiwa kazi na hatimaye katiba mpya ambayo imesubiriwa na watanzania wengi iweze kupatikana  na kuwa chachu kwa maendeleo ya Taifa.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...