Skip to main content

Posts

Showing posts from 2014

Casillas, Ramos and Ronaldo deserve Ballon d'Or - Morata

The 22-year-old spent six years at Real Madrid before leaving for €20 million this summer, signing a five-year deal with Scudetto holders Juventus. Morata clearly still holds many of his former Madrid stars in high regard and has tipped Ronaldo to pick up his third Ballon d'Or in January when pitted against Barcelona forward Lionel Messi and Bayern Munich goalkeeper Manuel Neuer. "Casillas and Sergio Ramos deserve the Ballon d'Or," he told Onda Cero . "But Cristiano in recent years has been above the rest and is a fair winner." During his time at the Santiago Bernabeu, Morata will have gained an acute awareness of the Madrid rivalry and the forward will be hoping he can make an impact in Juventus' Champions League clash with Atletico on Tuesday. Defeat in Turin to the Spanish champions - against whom Morata played in the Champions League final as Real Madrid triumphed after extra-time - could cost Juve a spot in the last 16

Nyota huyu kuridi Manchester

Mchezaji wa klabu ya Juventus Paul Pogba. Msimu wa usajili unakaribia kufunguliwa mwezi wa kwanza huko Ulaya klabu nyingi za nchi hizo ziko kwenye jitihada za kutaka kuboresha vikosi vyao. Klabu ya Manchester City imeanza mchakato wa kutaka kumchukua mchezaji kutoka kwenye timu ya Juventus Paul Pogba ili achukue nafasi ya Yaya Toure anayetarajiwa kuondoka kwenye msimu ujao wa usajili. Paul Pogba alikuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United kabla ya kusajiliwa huko Italia kwenye klabu ya Juventus.

aingia Nivita ya maneno na kutoka kwa Van Gaal

Louis van Gaal hakufurahishwa na maoni ya Gary Neville baada ya mechi kumalizika. Vita ya maneno baina ya Louis van Gaal na gwiji wa Man United Gary Neville imeibuka kufuatia uchambuzi kuwa United ilibahatisha ushindi wa 2-1 dhidi ya Southampton. Neville alidai United – iliyopo nafasi ya tatu Ligi Kuu baada ya ushindi wa tano mfululizo – ilikimbia kifo baada ya ushindi wa magoli mawili kutoka kwa Robin van Persie. Gary Neville amesema mchezo wa Man U na Liverpool siku ya Jumapili utakuwa kama mchezo wa baa. Mchambuzi huyo wa soka wa Sky alisema mechi ya United na Liverpool siku ya Jumapili itakuwa “Mbwa na Bata dhidi ya Simba Mwekundu ila Van Gaal mwenye hasira alisema: “Ni gwiji wa zamani, gwiji, mchezaji wa zamani wa Man United, mauaji? Hayo ni maelezo ya Kiingereza – labda. “Anaweza kusema chochote kwa sababu ni gwiji wa zamani, ila kama gwiji wa zamani, au kama gwiji, unapaswa kujua unachokisema. “Unaweza kutafsiri upendavyo. Sio vigumu. N

"MSICHANGIE SHEREHE PEKEE CHANGIENI NA MATIBABU"-DC SIKONGE

Mkuu wa wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selengu akimkabidhi kadi ya kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii  CHF mmoja kati ya wakulima wa tumbaku katika kijiji cha Kisanga wilayani humo wakati wa kampeni ya Uzinduzi wa mfuko huo.  Mkuu wa wilaya ya Sikonge akikabidhi kadi ya CHF kwa mkazi wa kijiji cha Kisanga wilayani humo Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kisanga waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hiyo ya uhamasishaji kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF wilayani Sikonge. Wananchi  wakiwa wamekaa  chini ya mti wa Mwembe wakisiliza kwa makini maelezo kuhusu faida za kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF,wakati wa uhamasishaji mfuko huo. Meneja wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kanda ya Magharibi Bw.Emmanuel Adina akigawa vipeperushi kwa wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii CHF katika kijiji cha Kisanga. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya NHIF kanda ya Magharibi Bw.Emmanuel Adina akitoa ufafanuzi kuhusu kujiun

MIAKA 53 YA UHURU WATANZANIA ZILIVYOFANA DAR ES SALAAM

Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye. Baadhi ya viongozi wa nchi wakiwa jukwaa kuu. Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete. Haya ni maonyesho ya halaiki. Baadhi ya wananchi waliofika kwenye sherehe hizo. RAIS Kikwete leo ameongoza sherehe za kuadhimisha miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate uhuru wake Desemba 9 1961. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali nchini na wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia burudani ya kwaya, gwaride, halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo mingineyo kutoka mikoa mba

Jeshi la Nigeria la mtumia salamu Gaidi Shekhau

Vikosi vya wanajeshi kutoka Nigeria Habari kutoka Nigeria zina taarifu kuwa siku ya Jumamosi wanajeshi wa nchi hiyo waliweza kukabiliana vilivyo na magaidi wa Boko Haramu kwenye mji wenye viwanda vingi wa Ashaka kwenye jimbo la Gobe. Mapigano hayo yalichukua muda mwingi ambapo magaidi hao walianza kukimbia hovyo hovyo mjini Ashaka na kwenye mapigano hayo jeshi la Nigeria liliweza kupoteza askari wake 10 huku magaidi wa Boko Haramu wakipoteza maisha 70 baadhi ya magaidi waliweza kurandaranda mjini na wengine wakiukimbia mji kuelekea machimboni.

Chadema yawanadi Wagombea Uongozi Serikali za Mitaa wa UKAWA viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

   Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwanadi wagombea.Picha na Francis Dande

Christian Bella afanya makubwa zaidi Dar Live

Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live. Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao. Mashabiki wakicheza na Christian Bella ‘Obama’.

HEBU JIONEE MWENYEWE JINSI DIAOMOND ALIVYONOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV

   Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.        Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na pia aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya moaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa. Nimezitoa kwa hakingowi.com