MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama
kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku ya Ukimwi
Duniani iliyofanyika leo Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja wa
Sabasaba Mkoani Njombe. Picha na OMR
Baadhi
ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe
mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo
Desemba 1, 2014. Picha na OMR
Baadhi
ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe
mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo
Desemba 1, 2014. Picha na OMR
Baadhi
ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe
mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo
Desemba 1, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe leo,
Desemba 2014. Picha na OMR

akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika uwanja wa
Sabasaba baada ya kuhutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa huo Mkoani Njombe.
Picha na OMR
Comments