Rapper Fabolous kutoka Brooklyn baada ya kuwa kimya kwa miaka mitano bila album sokomi sasa yupo tayari kurudi na album mpya aliyoipa jina The Young OG Project itakayotoka siku ya Christmas.
Album itanunuliwa kupitia iTunes kuanzia December 25.
Awali album ilipewa jina Loso’s Way 2, ikiwa ni muendelezo wa album
ya Loso’s Way. Fabolous pia ndio msanii mpya kujiunga na timu ya Roc
Nation na kuwa balozi wa kampeni ya Rocawear BLAK Fall/Winter
Comments