Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.
Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake
Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya
miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver
Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake
kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania
Balozi
akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania
na pia aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya moaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara.
Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake
Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo
Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.
Comments