Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2013

Thousands jam St. Peter's for pope's last audience

By NICOLE WINFIELD | View Photo Associated Press/Luca Bruno - Pope Benedict XVI greets pilgrims in St. Peter's Square at the Vatican, Wednesday, Feb. 27, 2013 for the final time before retiring, waving to tens of thousands of people who have  … more

Al-Shabaab hawawezi 'kukimbia ukweli' wakati hadithi za al-Amriki zinaendelea

Boniface Bosire alichangia katika habari hii kutoka Nairobi Waraka uliotolewa tarehe 18 Februari na Wandishi asiyejulikana akidai ana mahusiano na al-Shabaab ni ushahidi zaidi kwamba saga linaloendelea kumhusu mwanamgambo mzaliwa wa Marekani Omar Hammami ni tishio baya -- kama sio hatari -- kwa uongozi wa al-Shabaab. Waraka mpya wenye ukurasa 17 ndio jaribio pana zaidi la al-Shabaab kumkataa na kumtenga mwanajihadi mzaliwa wa Marekani Omar Hammami. [Jalada] Waraka huo wa ukurasa 17 wenye kicha cha habari "Kukimbia ukweli hakuwezi kulifanya litoweke: Kufisha hadithi ya Abu Mansour", ni jaribio pana la kuwaaibisha na kuwatenga wafuasi wa Hammami, anayejulikana pia kama Abu Mansour al-Amriki, kwa kushambulia utu wake, inia na dhamira yake katika jihadi. "Wakati na fedha vinatumiwa kupunguza hasara ambayo tayari imeshafanyika na mpasuko uliopo [miongoni mwa al-Shabaab]," alisema Samson Omusula, mshauri wa masuala ya usalama aliyeko N

CCM Wadhalilishana Wilaya ya Bukoba Mjini

WAMSUSIA MEYA, WATUMA UJUMBE MZITO KWA MANGULA CHAMA cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Bukoba Mjini, kimeingia katika siasa chafu za kudhalilishana huku vipeperushi vya kuwatusi madiwani 10 wa chama hicho na wale wa Chama cha Wananchi (CUF) vikisambazwa mitaani. Madiwani hao waliochafuliwa kwa matusi mazito ya nguoni ambayo mengine hayaandikiki kwa kuzingatia maadili ni wale nane wa CCM akiwemo Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki, na wawili wa CUF waliosaini hati ya kumtaka mkurugenzi wa manispaa hiyo kuitisha kikao cha dharura cha Baraza la Madiwani ili kumng’oa Meya Anatory Amani anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi. Hatua hiyo inakuja siku chache tangu Dk. Amani aamue kupuuza maagizo ya Makamu Mwenyekiti wao chama hicho taifa, Philip Mangula, kwa kufungua kesi mahakamani kupinga kujadiliwa na kung’olewa na madiwani. Mangula ambaye alilazimika kufika mjini Bukoba mwezi uliopita ili kunusuru mtafaruku huo, aliagiza madiwani nane wa CCM waliokuw

Neno La Leo: Hakuna Ugumu Wa Kurudi Misri...

Ndugu zangu,  Yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa yanatutaka tufikiri kwa bidii. Kama nchi kuna safari tumeifunga. Na tulivyo Waafrika, tu mahodari wa kufunga safari, lakini si mahodari wa kupanga safari. Kufunga na kupanga safari ni vitu viwili tofauti. Ndugu zangu, Ni vigumu leo kwa Wana wa Israel kuamua kurudi tena Misri, hata kama, pamoja na chawa na kunguni walioaacha Misri, bado, kuna wanaokumbuka samaki na masufuria ya pilau waliyoayaacha Misri. Lakini, kijamii, na kwa kuingalia jamii yetu hii ilikotoka, ilipo sasa na inakoelekea, na tuone sasa, kuwa hakuna ugumu wa kurudi tena Misri. Na hapa nitazungumzia umuhimu wa sisi WaTanzania kujitambua. Nahofia, kuwa moja ya kiini ya haya yanayotukuta sasa ni dhambi ya Ubaguzi  iliyoanza kututafuna pole pole. Taratibu tunapoteza uwezo wetu wa kujitambua. Ni ukweli sasa, kuwa Watanzania hatujitambui, na kibaya zaidi, baadhi ya viongozi wetu wa kisiasa na kidini wanapoonyes

Watuhumiwa Saba wa ujambazi wakamatwa Geita

kuna tatizo kwani?

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AKAGUA VITEGAUCHUMI VYA PSPF JIJINI DAR

SIKU MOJA baada ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kuwatembezea wadau na wanachama wake katika nyumba za mradi wa nyumba za makazi ambazo zimejengwa na Shirika hilo eneo la Buyuni kata ya Majohe Chanika Wilayani Ilala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Fedha, Janet Zebedayo Mbene nae ametembelea na kujionea nyumba hizo na kuumwagia sifa Mfuko huo kwa ubunifu na kuwajali wananchama wake. Mbene pia alitembelea Ujenzi wa jingo la Kitegauchumi la Ghorofa 35 linalojengwa na Mfuko huo katikati ya jiji la Dar es Salaam. Pichani ni Naibu Waziri wa Fedha, Janet Zebedayo Mbene akiangalia mchoro wa Jengo la Kitega Uchumi cha Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) ambalo linajengwa katika ti ya jiji la Dar es Salaam na litakuwa na Ghorofa 35. Ndani ya jingo hilo la kutakuwa na Ofisi, maduka na nyumba za kulala. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Bwana Adam Mayingu akimpa maelezo Naib

Hundreds of flights canceled and chaos on the roads as 'thundersnow' storm dumps up to 17 inches of snow on the Midwest... and now it's heading to the East Coast

By ASSOCIATED PRESS , REUTERS REPORTER and DAILY MAIL REPORTER A massive snow storm which bombarded the nation's midsection on Thursday is now lumbering northeast towards New England, threatening 20 states and 60 million residents in its path. The storm is expected to reach the East Coast this weekend, delivering heavy snow to parts of New England for a third straight weekend, from northern Connecticut to southern Maine. Nebraska, Oklahoma and Kansas have been blasted with freezing rain and more than a foot of snow, closing schools, shuttering airports, cancelling hundreds of flights and promising a messy and possibly dangerous commute on Friday. Another five inches of snow is expected to hit the Great Lakes this morning, with Minneapolis, Milwaukee and Detroit seeing the most, Weather Channel meteorologist Chris Dolce told USA Today. Wind gusts of 30 mph were expected to churn-up snow that fell overnight in southern Wisconsin, where forecaster

Sitta awataka Ma-RC kuzima ghasia mikoani

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amewata wakuu wa mikoa nchini kuondoa woga na kusimama kidete, ili kukomesha vurugu zinazoendelea nchini yakiwemo mauaji yanayotokana na imani za kidini. Sitta ambaye pia ni Mbunge wa Urambo Mashariki alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma. Alisema kama wakuu wa mikoa hawatatimiza wajibu wao, migogoro na visingizio vya imani za kidini vitaendelea kukithiri siku hadi siku. Waziri huyo alisema amekuwa akishangazwa na hatua ya viongozi wa mikoa kushindwa kuzima maasi hayo mapema licha ya kuwa na vyombo muhimu vinavyowapa taarifa za haraka. “Wakati mwingine ni uoga wa viongozi wetu, ama kwa kutokujiamini maana jambo linaaza kwao na wao wanakuwa na mamlaka zote lakini wanashindwa kuchukua hatua mapema hadi Waziri Mkuu au Rai

Imamu wa Msikiti wa Mwakaje auawa kwa kupigwa mapanga

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali Saidi Mwema ambaye ndiye mwenye dhamana ya usalama nchini SIKU chache baada ya kutokea kifo cha Padri Evarist Gabriel Mushi na watu wasiojulikana kwa kupigwa risasi kichwani eneo la Beit el Raas, Jana Imamu wa Msikiti wa Mwakaje amefariki dunia baada ya kupigwa mapanga hadi kufa. Kwa mujibu wa maelezo ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Ahmada Khamis amethibitisha kutokea kwa tukio hilo hapo jana mchana majira ya saa 8 mchana na kumtaja aliyefariki ni Sheikh Ali Khamis ambaye ameuawa na watu wasiojulikana. Kamanda Ahmada alisema Sheikh Khamis mbali ya kuwa ni Imamu wa Msikiti lakini pia ni mkulima na ameuliwa wakati akiwa katika mazingira ya kazi zake ndani ya shamba lake huko Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akielezea mazingira ya tukio hilo Kamanda Ahmada alisema tukio hilo limetokea baada ya Sheikh Khamis kwenda shambani kwake katika shmba la minazi Kidoti ambapo wakati akiwa s

HAYA MAKUBWA, MIMBA YA SISTER P YAYEYUKA...!

  MIMBA ya msanii wa hiphop hapa Bongo, Happy Peter maarufu kama Sister P, imeyeyuka kufuatia mazoezi makali ya kujiandaa na wimbo wake mpya. Akiongea katika ofisi za Saluti5 jana jioni, Sister P aliyetamba enzi hizo na kibao chake “Anakuja”, alisema anasikitika kuwa mimba yake imeharibika. “Nilikuwa nafanya mazoezi makali ya kukimbia ufukweni pamoja na kuingia gym ili nipate stamina ya kupasuka vizuri kwenye ‘mic’ kumbe nilikuwa nauweka rehani ujauzito wangu. “Siku moja baada ya kutoka mazoezini nikaenda studio kuingiza sauti, wakati naendelea kufanya makamuzi nikapatwa na maumivu makali ya tumbo. “Nikakimbizwa hospitali na baada ya uchunguzi ikagundulika kuwa mimba imeharibika” alisema Sister P msanii msela kupindukia kiasi cha kufanya watu wapate utata juu ya jinsia yake. Sister P amesema wimbo wake mpya uliosababisha kupoteza ujauzito wake umeshakamilika na hivi punde atauachia hewani. Hivi ka

We must be defined by dignity not poverty – Kagame

President Kagame ended his Southern Province tour in the district of Nyaruguru where he addressed tens of thousands of residents and encouraged them to continue on the path to progress. Dorocellla Muragijimana, a 12 Year old student at the Institute for Blind Children welcomes President Kagame – Southern Province 20 February, 2013 “What you have accomplished in Nyaruguru is not a gift from anyone; it is as a result of your hard work and your determination. We must begin by fighting the poverty of the mind. You must believe in your ability to better your situation. No one else but ourselves can be held responsible for solving the issues we face.” On the issue of foreign assistance, President Kagame said: “No one can teach the hungry or the poor how poverty or hunger feels? No one can want to change the situation more than they do. The primary responsibility to transform our nation lies with us. Foreign assistance should not be one that strips us of f

Majibu ya Diamond kuhusu Penzi la Vj Penny, Show ya Rwanda, kumroga Q-Chief na alichofanyiwa na Tanzanite

Bongo5.com wrote: Diamond Platnumz kupitia kipindi cha XXL cha Clouds fm, ameamua kufunguka kwa undani kuhusiana na shutuma zinazoelekezwa kwake kuanzia kudaiwa kutumia waganga wa kienyeji kuosha nyota yake na scandals zingine.  Kuhusiana na mganga anayedai kuwa atamshusha Diamond baada ya kumtelekeza, Diamond amesema: [See More] »

West Wing Week: 02/22/13 or “A Single Sacred Word: Citizen”

This week, the President visited his old neighborhood in Chicago, conferred one of the nation's highest civilian honors, met with the President of Italy, and continued to urge Republicans to close tax loopholes for the wealthy to prevent dangerous across-the-board budget cuts that are slated to take effect on March 1st.

Diamond Platnumz having Dinner with Vj Penny

 

DIAMOND AFUNGUKA NA KUJIFAGILIA

NGULI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul 'Diamond' amesema, anajivunia kuweka historia ya kufanya onyesho, ambalo mashabiki wamelipa kiingilio kikubwa ili kumshuhudia. Diamond ameeleza kupitia mtandao wake kuwa, katika maisha yake, hajawahi kufanya onyesho, ambalo mashabiki walilipa zaidi ya sh. 20,000. Katika onyesho hilo lililofanyika wiki iliyopita kwenye ukumbi wa klabu ya Safari Carnival mjini Arusha, kiingilio kilikuwa sh. 150,000 kwa mtu mmoja. "Kiukweli namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha onyesho hilo,"alisema msanii huyo, ambaye amewahi kushinda tuzo kadhaa za muziki za Kilimanjaro. "Huwezi kuamini, licha ya kiingilio kuwa kikubwa, mashabiki walifurika pasipo hata mimi kutegemea. Kiukweli, ilinifariji sana,"aliongeza. Kwa mujibu wa Diamond, wingi wa mashabiki hao ulidhihirisha kwamba watanzania wanathamini na kujali vipaji vya wasanii wao tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma. "Zamani shoo

Lowassa amtaka JK kuunda tume

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, WAKATI mjadala wa kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne ukiendelea nchini, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume kuchunguza na kutoa mapendekezo ya mfumo bora wa elimu nchini. Alisema kwa hali ilivyo sasa mtu mmoja hawezi kujifungia ofisini peke yake na kuja na mfumo wa kuboresha sekta ya elimu utakaokidhi matakwa ya jamii. Lowassa alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake, jijini Dar es Salaam. Ingawa hakutaka kuzungumzia hoja ya mbunge wa kuteuliwa na Rais, James Mbatia (NCCR- Mageuzi), aliyetaka Bunge liunde kamati kuchunguza udhaifu katika sekta ya elimu na hoja hiyo kutupwa, Lowassa alisema hakuna sababu ya kubishana kama tuna mitaala au la, lakini jambo la msingi ni kuhakikisha tunapata sababu za matokeo mabaya ya wanafunzi wa kidato cha nne. “Sitaki kuzungumzia mjadala wa bungeni huyo

Congrats — Amber Rose

Amber Rose pamoja na demu wake, Wiz Khalifa wamekua wazazi wa mtoto wa kiume! Sebastian Taylor Thomaz amezaliwa Alhamis mchana (kwa muda wa Marekani). Hapo kabla, Baba wa mtoto huyo, Wiz Khalifa ali-post picha akiwa amevaa scrubs na mask za hospitali yenye maneno " daddy time. " Mida ya 2pm, alipost tena;  "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone welcome this perfect young man into the world"

Oprah Winfrey Honored With Essence Power Award

The woman who puts the 'O' in power was honored Thursday afternoon at Essence's Black Women in Hollywood event. Oprah Winfrey received the Power Award at the sixth annual luncheon.  

TYSON AK SHOW LOVE NA EVANDER HOLYFIELD

CHICAGO, Marekani   Mike Tyson na Evander Holyfield walipokutana kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16. Safari hii hawakukutana kwenye ulingo wa ndondi. Walikutana katika uzinduzi wa kinywaji kipya uliofanywa na Holyfield katika grosari ya Jewel-Osco iliyopo mjini Chicago. Kabla ya tukio hilo, Tyson (46) alimwendea Holyfield (50) kwa furaha na kumkumbatia. Ilikuwa kama vile marafiki waliopoteana zamani wanafurahia kukutana. Muda wote wa tukio hilo, Tyson alionekana akitabasamu kwa furaha na kuonyesha meno 32 nje wakati Holyfield akitoa kicheko tuuuuuu.

Nyamagabe residents welcome President Kagame- Southern Province, 18 Feb

"Solving our own problems begins with fighting against poverty of the mind. We must believe that no one but ourselves has the right to determine our future. We cannot continue to be satisfied with receiving leftovers and praising those who give them to us. Let us look forward and refuse to believe in a future where we are defined by poverty. The question is are you prepared to continue on the path to remain true to who we are and to not be deterred from our goals?

WENGER

 KOCHA Mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger katika  mechi iliyochezwa mwishoni mwa wiki  amejikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya timu hiyo kutolewa na Blackburn Rovers katika michuano ya Kombe la FA.   Arsenal ilichapwa bao 1-0 na Blackburn na hivyo kufungasha virago.

PISTORIUS:AFUNGUKA KUMUUA MPENZI WANGU

JOHANNESBURG, Afrika Kusini MCHEZAJI nyota wa michezo ya walemavu, Oscar Pistorius amesisitiza kuwa, hakuwa amedhamiria kumuua mpenzi wake, Reeva Steenkamp. Pistorius alisema hayo juzi kupitia taarifa iliyosomwa mahakamani kuhusu tuhuma za kumuua Reeva katika tukio lililotokea nyumbani kwake Februari 14 mwaka huu. Mshtakiwa huyo alidai kuwa, alimuua Reeva kimakosa kwa kuhisi ni mwizi aliyeingia nyumbani kwake kupora baada ya kushtuka kutoka usingizini usiku wa manane. Awali, Mwendesha Mashtaka Gerrie Nel aliieleza mahakama kuwa, Pistorius aliamka kitandani na kuvaa miguu yake ya bandia na kutembea umbali wa mita saba kabla ya kumfyatulia risasi Reeva kupitia kwenye mlango wa bafu uliokuwa umefungwa. Nel aliieleza mahakama kuwa, mauaji hayo yalikuwa yamepangwa na mtuhumiwa baada ya kutokea ugomvi kati yake na marehemu. Lakini Pistorius aliieleza mahakama kuwa, alishtuka kutoka usingizini baada ya kusikia sauti kutoka bafuni, akiamini alikuwa mwizi. Mshtakiwa hu

Belle9:Afande Sele anafaa kuwa mbunge

MSANII nyota katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Belle9 amefunguka na kusema msanii nguli katika muziki wa Hip Hip nchini Afande Sele  anafaa kuwa mbunge 2015. Nyota huyo  aliyabainisha hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Afande Sele amabaye tayari katangaza nia yake ya kugombea katika Jimbo la Moroogoro Mjini ifikapo mwaka 2015 amejikuta kupewa ufagio hilo na msanii Belle9. "Ni mtu muhimu katika nafasi ya kuongoza jimbo jamii kubwa huwa inamkubali  anastahili kugombea jimbo hilo,"alisema msanii huyo. Belle9 pia alisema anawazimia pia baadhi ya wasanii wengine waliowahi kubamba na nyimbo zao kusumbua anga za muziki. Pia msanii huyo alisema amejipanga  kufikisha muziki kwenye 'levo' za kimataifa mwaka huu ambapo nchini Uganda yuko mbio kumshirikisha katika kazi zake za sanaa msanii Bebe Cool .

Goldie Hervey Ft, AY

Watu 31 wapoteza maisha nchini Syria kwa mlipuko wa Bomu la kujitoa muhanga

Na Nurdin Selemani Ramadhani Shambulizi la kujitoa mhanga lililotekelezwa nchini Syria limesababisha watu 31 kupoteza maisha baada ya bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari kulipuka katika Jiji la Damascus karibu na Makao makuu ya Chama cha Baath.  Shambulizi la Bomu la Kujitoa Mhanga lililotekelezwa Jiji Damacus na kusababisha vifo vya watu 31 Mashirika ya Kutetea Haki za Binadamu yamethibitisha kutokea kwa mashambulizi manne tofauti nchini Syria katika Jiji la Damascus yanayotajwa kutekelezwa na Wapiganaji wa Upinzani. Wengi wa waliopoteza maisha kati ya hao 31 ni raia wa kawaida ambapo taarifa zinasema watu wengine wengi wamejeruhiwa bila ya kutajwa idadi kamili ya wale waliopata majeraha kwenye mashambilizi hayo. Shambulizi la bomu la kujitoa mhanga lililotekelezwa kwenye Makao Makuu ya Chama tawala Cha Baath ndilo linatajwa kuchangia vifo vya watu wengi zaidi huku mashambulizi mengine yakifanywa katika eneo la Mazraa. Televisheni ya taifa

Nigeria says arrests Iran-linked ‘terrorist’ cell targeting U.S., Israel

Nigeria’s secret service say they have arrested a “terrorist cell” trained in Iran. (Reuters) By REUTERS. ABUJA Nigeria’s secret service say they have arrested a “terrorist cell” trained in Iran who planned to attack U.S. and Israeli targets in Africa’s most populous nation. The State Security Service (SSS) said they arrested Abdullahi Mustapha Berende and two other Nigerians in December after Berende made several suspicious trips to Iran where he interacted with Iranians in a “high profile terrorist network.” “His Iranian sponsors requested that he identifies and gathers intelligence on public places and prominent hotels frequented by Americans and Israelis to facilitate attacks,” SSS spokeswoman Marilyn Ogar said in a statement. “There is conclusive evidence that Berende in collaboration with his Iranian handlers were involved in grievous crimes against the national security of this country.” Iran has yet to respond to the allegations.

Muziki wa dansi

Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa Tanga. Wadau wanasema mji wa Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia nchini. Wajerumani waliusambaratisha mji wa Tanga kwa mizinga kati mwaka 1888 na 1889. Na baada ya hapo kuujenga upya kwa kufuata mpangilio uliosababisha Tanga kuwa na mitaa maarufu kama barabara ya kwanza ya pili na kuendelea. Wajerumani walianzisha shule ya kwanza ya serikali Tanga 1892 na hapohapo wakanzisha bendi ya shule ya kwanza, pamoja na kuwa Wajerumani hawakutawala muda mrefu baada ya hapo lakini Waingereza waliiendeleza sana bendi hiyo iliyokuwa ikipiga aina mbalimbali za muziki wa kigeni. Dansi ilianza kwanza kama klabu ambapo watu walialikana kuja kucheza aina mbalimbali za muziki wa kizungu mtindo maarufu unaojulikana kama 'ballroom dancing'. Aina hizi za klabu zilianzia Mombasa na kuingia nchini kupitia Tanga na kisha kuletwa Dar es Salaam na klabu iliyokuwa maarufu Tanga ili kujulikana kwa jina  Tanga Young

Chokoraa !!

  MWANAMUZI wa bendi ya muziki wa dansinchini Khalid Chokoraa amesema akiwa ni moja wa viongozi wa bendi ya Mapacha Watatu ameibuka na kumkoromea kiongozio wa bendi mpya ya muziki huo Mwinjuma Muumin anayeongoza bendiya  Victoria Sound. Akizungumza jijini Dar es Salaam Chokoraa amemkoromea Muumin kwa kusema kuwa nyota huyo amefilisika kimuziki. "kitendo chake cha kuujibu wimbo wa 'Shamba la Twanga' ni ushahidi kuwa enzi zake zimekwisha,"alisema Chokoraa. Aliendelea kufunguka Chokoraa kwa kutamba kuwa  bendi ya  Twanga kupitia kwa uongozi wa Asha Baraka imwachie yeye kazi ya kumjibu Muumin. Nyota huyo alienda mbali zaidi na kusema "hakika kitu alichokifanya Muumin bendi ya Twanga iniachie mimi kumjibu kwanza mimi na yeye tunatoka sehemu moja Bagamoyo hivyo awezi kunishinda ." Tayari bendi ya  'Mapacha Watatu'kwa sasa inajiandaa kwa ajili ya uzinduzi wa albamu mpya ,itakayozinduliwa mach 2 mwaka huu kwenye ukumbi wa Business Park maeneo ya Victoria

CHADEMA WALIVYO ITEKA MWANZA

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao

Matokeo ya Form Four ni kioja kingine!

Ndugu zangu, Jioni yote ya jana nilikuwa nimepumzika kujisomea tu, hata taarifa ya habari ilinipita.Nilipoingia mtandaoni nikakutana na habari hii ya kusikitisha; matokeo mabaya ya kidato cha nne! Namkumbuka jamaa yangu aliyeniuliza; " Maggid, unatarajia nini pale unapoona mwalimu anahonga ili apewe nafasi ya kwenda kusahihisha mitihani?" Kioja hiki! Nakumbuka pia miaka kadhaa iliyopita. Mzazi kule Musoma alikwenda kulalamika kwa Mwalimu Mkuu aliposikia mtoto wake amefaulu mtihani wa darasa la saba na amechaguliwa kujiunga na Sekondari. Mzazi yule akauliza kwa kushangaa; " Hivi aliyefaulu ni mtoto wangu huyu huyu ambaye mpaka hii leo hajui vema kusoma na kuandika?"- Kioja! Na nimeona, kwenye matokeo yaliyotoka hii leo, kuwa kwenye shule iliyopewa jina la Sekondari ya J. M. Kikwete wanafunzi wote wamefeli! Kioja hiki! Tunajifunza nini? Tuna MGOGORO WA ELIMU- Education Crisi

Skylight Band na watu wastaarabu ndani kiota cha Thai Village jijini Dar ni kila siku ya Ijumaa.

Pichani  juu na chini mashabiki wa Bendi inayoshika kasi mujini Skylight wakijimwaga na masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa na Sony Masamba pamoja na Joniko Flower. Joniko Flower akitoa buradani huku akisindikizwa na Aneth Kushaba AK47 pamoja na Mary Lukas. Haki Ngowi (katikati) akishow some love na Fans wa Skylight Band Julio (kushoto) na Gideon (kulia). Hayo yote ni mapenzi na Skylight Band….. Mdau akiwa ametweta jasho baada ya kusakata Sebene vilivyo akiona ashow love na dada zake. Couples waliobamba kwenye Show ya Skylight Band wakishow love mbele ya Camera yetu…Karibuni tena. Salma Yusuf akiwapa raha  mashabiki wa Skylight Band na mambo ya pwani (mduara) huku akipewa Sapoti na Mary Lukas sambamba na Sam Machozi. Kijana David akianza kuonyesha woga wa kuzungushiwa nyonga huku akiwa amekaa. Hapo sasa Kijana David akiwa ameelemewa:  Warembo wa jijini Dar wakimpagawisha kijana na kumtoa jasho la pua. Mwanadada akiwatoa jasho wanaume wawili