Skip to main content

MKURUGENZI MKUU WA UNESCO IRINA BOKOVA’S AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s aliyewasili nchini usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini. Waliobaki nyuma ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Dkt. Alberic Kacou, Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mh. Begum Taj na Msaidizi wa Mkurugenzi wa UNESCO.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kulia) akimwongoza Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s sehemu ya mapumziko kwa viongozi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (VIP Terminal) usiku wa kuamkia leo . Bi. Irina Bokova’s atakuwa nchini kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili itakayoanza leo.

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s akisalimiana na Katibu Mkuu wa Natcom Prof. Elizabeth Kiondo. Wanaoshuhudia tukio hilo Mkurugenzi Msaidizi wa UNESCO Africa Bi. Lalla Aicha Ben Barka (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania Vibeke Jensen (kulia).

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s ( wa pili kulia) akizungumza jambo na mwenyeji wake Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Begum Taj na kulia ni Mwakilishi wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania Vibeke Jensen.

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s akibadilishana mawazo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawamba kwenye chumba cha mapumziko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (VIP Terminal) usiku wa kuamkia leo jijini Dar.

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wenyeji wake Waziri wa Elimu na Maufnzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Begum Taj.

Dk. Shukuru Kawambwa akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s.

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s akiondoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (VIP Terminal) mara baada ya kuwasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Inatoka kwa mjengwa.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...