Bei ya mafuta ya Petroli na Diesel wilayani lushoto imepanda kufikia
shilingi 3000/=hadi shilingi 3500/= kwa lita kwa zaidi ya wiki Moja sasa
kufuatia vituo vyote vya mafuta kusitisha kuuza huduma hiyo kwa kile
kinachodaiwa kuwa bei ya jumla ya mafuta iliyotangazwa na serikali
imepanda pamoja na gharama za usafirishaji hadi wilayani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments