Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2012

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA AFDB AMBAO UTAGARIMU BILIONI 12

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa (AFDB) Bw. Ngosha Magonya  katikati akiongea na waandishi wa habari mapema leo jijini Arusha. Baadhi ya wanakamati wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa AFDBwakiwa katika viwanja vya AICC jijini Arusha leo. NA GLADNESS MUSHI WA FULLSHANGWE-ARUSHA  Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB)inatarajia kutumia kiasi cha Shilingi bilioni 12 katika mkutano wake unaoanza Jumatatu jijini Arusha na kufunguliwa na Raisi Jakaya Kikwete  huku kiasi cha fedha hizo zikitumika kukarabati Kumbi mbalimbali za jengo la Kimaitaifa la ukumbi wa AICC kwa kuwa baadhi ya kumbi za jengo hilo zinaonekana kupitwa na wakati kutokana na utandawazi uliopo kwa sasa ndani ya nchi zilizoendelea Akizungumza jijini hapa na waandishi wa habari mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya mkutano wa benki ya AFDB kwa mwaka 2012 Bw Ngosha  Magonya  ambapo alisema kuwa mkutano huo utakuwa na faida kubwa sana

Timu ya USA Itapambana na Brazil May 30 Hapa FedExField Maryland

Tunapenda kuwatarifu wadau wetu wote wanaoishi DMV na vitongoji vyake kwa wale wanaopenda mchezo wa kandanda, timu ya taifa ya Marekani itakuwa mwenyeji wa Brazil katika mechi ya kirafiki  itakayochezwa, Mei 30 mida ya 8 p.m. ET, hapa hapa FedExField Landover, Maryland. US itatakuwa nimara ya pili  kukutana na Brazil tangu kusimamuwa na kocha mzowefu  kutoka Ujerumani Jurgen Klinsmann  siku hiyo ya Mei 30. "Unapozungumzia kuhusu Brazil, unazungumza  kuhusu kandanda na wengi wenye vipaji  kucheza katika taifa ambalo linajulikana duniani," alisema kocha mkuu wa Marekani Jurgen Klinsmann kwenye ussoccer.com. "Ni lengo letu kuwa na tuna uwezo wa mechi za juu dhidi ya timu kama Brazil ndani  ya msingi imara, na hii ni nafasi ya kujimarisha zaidi. Hii ni kuwakumbusha tu wadau wanaotembelea blog hii, wahi tiketi yako mapema, kwa sasa zinapatikana bei nafuu online, kabla hazijapandishwa bei wakati pale hamu imeshakujia ya kwenda kuwaona  

MJADALA KUHUSU LUGHA WAZUA TAFRANI BUNGENI NCHINI UKRAINE.

Wabunge wa chama cha rais Viktor Yanukovich wanataka lugha ya Kirusi ikubaliwe kama lugha rasmi ya pili nchini humo, lakini upinzani unaounga mkono sera za magharibi unapinga sheria hiyo. Kufuatia tafrani huyo ya kupigana ilibidi mbunge mmoja wa upinzani apelekwe hospitali baada ya purukushani hiyo. Kwahisani ya dewjiblog.com

Kanye West signs D'BANJ & DON JAZZY TO G.O.O.D music

American multiple awards winning artist and producer, Kanye West has today finalized his interest to sign one of Nigeria’s biggest hip-hop artistes, Dapo Oyebanjo popularly known as D’Banj & Don Jazzy to his Good Music Entertainment, a production, management and record label outfit. “GOOD” is an acronym for “Getting Out Our Dreams”. Speaking to D’Banj’s manager, Sunday Are of List Entertainment, he confirmed that there have been talks recently but D’Banj officially signed the contract today. “Yes there have been discussions between the two parties lately. They have been exchanging contracts but now the wait is over, he said. Sources also revealed that Kanye is interested in working with Don Jazzy. We heard he wants him to produce a song on the collaboration album he is working on with Jay Z. John Legend and Common were the first to sign to the management and production company. Their albums “Get Lifted and Be” (both executive-produced by

Mnyika Ashinda Kesi

Kesi hiyo namba 107 ya 2010, ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Hawa Ngh’umbi dhidi ya Mnyika ambaye ni mdaiwa wa pili katika kesi hiyo akitetewa na Wakili Edson Mbogoro. Mdaiwa wa kwanza katika kesi hiyo iliyoko mbele ya Jaji Upendo Msuya ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na aliyekuwa Msimamizi wa Uchaguzi (RO) katika jimbo hilo, (aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni) ambao walikuwa wakitetewa na Wakili Mkuu wa Serikali (PSA), Justice Mulokozi. Katika uchaguzi huo, uliofanyika Oktoba 31, 2010, Msimamizi wa Uchaguzi, Raphael Ndunguru alimtangaza Mnyika kuwa mshindi Novemba 2, 2010 baada ya kupata kura 66,742. Ngh’umbi alipata kura 50,544. Hata hivyo, Ngh'umbi hakuridhishwa na matokeo hayo akaamua kufungua kesi Mahakama Kuu kuyapinga, akimtumia Wakili Issa Maige. Katika hati yake ya madai na wakati akitoa ushahidi  mahakamani, Ngh’umbi na mashahidi wake walidai kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu na kisheria kati

Flaviana Matata akibubujikwa na machozi

Mwanamitindo maarufu wa Tanzania, Flaviana Matata akibubujikwa na machozi wakati wa ibada ya kuwakumbuka watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea miaka 16 iliyopita kwenye Ziwa Victoria. Ibada hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye makaburi ya Igoma mjini Mwanza. Mrembo huyo, ambaye alimpoteza mama yake kutokana na ajali hiyo, alitoa misaada ya vifaa mbalimbali vya kujikinga na ajali.Kwa hisani ya Mdau.

Zitto in The Netherlands on agenda: Oil and Gas

A delegation of members of the Parliament from Tanzania arrived in The Netherlands on Monday, for a 4-days study tour. The tour which begins Monday 21st May 2012 until the 24th will see the Honorable MPs Zitto Kabwe, hon. Nasir, hon. Sarah Msafiri and David Kafulila and Ms. Pallangyo meeting representatives of the Netherlands Ministries of Foreign Affairs and that of Economic Affairs, Agriculture & Innovation (EL&I). The meeting will provide opportunities to discuss issues such as government policies on careful and transparent exploration/exploitation of natural resources and on management of the ensuing income, and Dutch experience in the field (Dutch disease and its prevention and cure). They delegates will tour the port of Rotterdam to be followed by presentation of BAM international on LNG. The MPs will also have a meeting with the Vice Prime Minister and Minister of Economic Affairs, Agriculture And Innovation, Mr. Verhagen. Read more »

TAARIFA YA MSIBA WA MAMA YAKE NJENJE MASUDI

MCHEZAJI WA TIMU YA TANZANIA DMV.  MASUDI NJENJE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI Tunasikitika kutangaza kifo cha Bi Mayasa Muhammed  ambae ni Mama yake  Njenje Masudi, kilichotokea Tandika Tanzania jana  Mei 22, 2012, majira ya saa kumi jioni. Marehemu amesafirishwa leo kupelekwa Kisiju kwaajili ya mazishi yatakayofanyika leo baada ya sala ya Lasiri. Kwa hapa Marekani, msiba utakuwa 6200 Ager Road  Hyattsville Mryland 20782 Kama mila na desturi yetu, tunaombwa tuwafariji wafiwa kwa mkono wa pole Wasiliana na Mfiwa. 301-454-9386 Inna LILLAHI wa Inna Ilaihi Raji'oon

Uchaguzi huru wa urais unafanyika Misri

Raia wa Misri wanajianda kushiriki katika uchaguzi wa kwanza huru tangu mapinduzi ya kiraia yaliomuondoa Rais Hosni Mubarak mamlakani miezi 15 iliopita.Wapiga kura milioni 50 watashiriki katika uchaguzi huu ambao usalama unapewa kipa umbele. Baraza kuu la jeshi nchini humo ambalo lilichukuwa utawala baada ya mapinduzi ya kiraia mwezi wa Februari mwaka jana, limeahidi kuwa uchaguzi utakuwa wa huru na haki. Nafasi ya urais imewavutia jumla ya wanasiasa 12, wenye itakadi kali za kidini, walio na msimamo wastani na mawaziri waliotumikia utawala wa aliyekuwa Rais Hosni Mubarak. Wagombea wanaopewa nafasi nzuri kwenye uchaguzi huo ni Ahmed Shafiq, aliyekuwa kamanda wa jeshi la angani na Amr Moussa, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje na kiongozi wa jumuiya ya nchi za kiarabu. Wengine ni Mohammed Mursi, kiongozi wa vugu vugu la kiislamu, Muslim Brotherhood na Abdul Moneim Aboul Fotouh, mgombea binafsi lakini ambaye pia anegemea sera za kidini. Uchaguzi huu utafanyika

Nmb na Sbl zaipiga jeji twiga stars

BENKI ya NMB na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jana zimetoa sh.milioni 30 kwa timu ya timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) inatarajia kuondoka nchini kesho jioni Ethiopia kwa ajili ya mchezo wake dhidi ya timu ya Taifa ya nchi hiyo. Akizungumza Dar es Salaam leo wakati wa kukabidhi Menka huu kwa ndege ya Ethiopian Airlines kwenda Addis Ababa kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Ethiopia. Mechi hiyo itachezwa Mei 27 mwaka huu. Msafara wa Twiga Stars utakuwa na watu 25 wakiwemo wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Lina Kessy ndiye atakayeongoza msafara huo. Twiga Stars itarejea nyumbani Mei 28 mwaka huu kusubiri mechi ya marudiano itakayochezwa Juni 16 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshindi ndiye atakayepata tiketi ya kucheza Fainali za Nane za AWC zitakaz

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

Chadema clarifies Shibuda-Heche saga

Maswa West Member of Parliament Mr John Shibuda By ROSE ATHUMANI The Chama cha Demokrasia na Maendeleo Youth Council (BAVICHA) Deputy Chairperson has distanced the party’s youth wing from the war of words between Maswa West Member of Parliament John Shibuda and the wing’s chairman John Heche. Addressing journalists on Sunday, Ms Juliana Shonza said a statement issued by Mr Heche following Mr Shibuda’s announcement that he would seek the party’s nomination to run for president in 2015 did not represent the views of the council. “BAVICHA never held any meeting to come up with a common position as stated by Mr Heche, therefore I would like to make it known that the council is not party to the tussle between the MP and Mr Heche,” Ms Shonza noted. Last week Mr Shibuda expressed his intention to run for presidency in the 2015 elections, a move that evoked a stern statement from the BAVICHA chairman who said that the MP’s membership in the party would be revoked. Following

Ni Ukali wa Nyumbani Lounge

Mpiga gitaa wa Machozi Bendi Mbwana Mponda akicharaza  gitaa usiku wa IJumaa UKumbi wa Nyumbani Lounge Dar es Salam  .

Chid Mzee wa Mbele Akiwa amejiachia Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam

  CHID ambaye ni wakala wa ngumi nchini pia ni msanii mahiri katika tasnia ya filamu nchini.

Ni Ndanda Cosovo akiwa Jukwaani na Bendi yake ya Watoto wa Tembo

  Msanii Mahiri wa muziki wa ndansi Ndanda Kosovo akiwa mzigoni  na bendi yake ya Watoto wa Tembo  Jana jioni  kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam , kwa sasa Watoto wa Tembo wanapiga mzigo kwa pamoja na Bendi ya mpya ya muziki wa dansi ya Mashujaa kwa siku hizo za jumamosi.

LYRICS THAT SPEAK: “Keep Ya Head Up”

by Tawni Fears       Tweet Share 8 View Comments             i   Rate This Share with Shortlink: “And even though you’re fed up/  Ya got to keep ya head up” Some songs are simply timeless. Some are relevant, five, 10, or even 50 years, after their debut. “Keep Ya Head Up ” was the hood’s anthem, but also played a tune that the world could understand. It was as if scars and bruises were being exposed, with no bandages in sight. Even with the raw realties of many brought front and center, and Pac’s storytelling taking some back to nightmares, there is still a beautiful calmness about this record. “But please don’t cry, dry your eyes, never let up/ Forgive, but don’t forget, girl keep your head up” What life throws us, we don’t always see coming. Other times, we think we are a little tougher th

UKALALE SALAMA KIPENZI CHA WENGI PATRICK MAFISANGO

Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara wakati mwili wa marehemu, Mafisango ulikiwasili katika viwanja vya TCC Club. Gari lillilobeba mwili wa hayati Patrick Mafisango likiwasili viwanja vya Tcc Club Chang`ombe    Beki wa Simba, Juma Nyoso pamoja na John Boko wakiwa wamebeba jeneza                                Golikipa Juma Kaseja akitoa heshima zake za mwisho                                        Haruna Moshi akitoa heshima za mwisho.                             Kwa wingi wa Picha za matukio ya kuuaga mwili wa Patrick Mafisango                                                  BONYEZA HAPA

Roki and Barbz.

BIG BROTHER STARGAME: DAY 10 The 91 day reality super-series Big Brother StarGame, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 198. For more information log on to www.africamagic.tv/bigbrother . Prezzo.                                                                                 Goldie.                                                                               Ola.                                                                            Roki.

Tanzania still committed to the Palestinian independence

Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe The government has said that it remains committed to the Palestinian liberation struggle, despite maintaining diplomatic relations with Israel. Speaking to the ‘Sunday News’, an official of the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation said recently that the diplomatic relations have existed for a long time. “Tanzania maintains a consular office in Tel Aviv, while our embassy in Egypt takes care of all diplomatic affairs,” said the official. He also said that the Israeli embassy in Kenya coordinates all the diplomacy between Tanzania and Israel. “The country’s political stance as far as the occupation of Israel remains clear that we continue to support a two-state solution that will see two states existing side by side in the Middle East,” said the official. Reports from Zanzibar and some sections of the community in the mainland Tanzania show that there is a growing concer

Chalsea ilipo tua Munich kwa mechi ya Jana dhidi ya Bayern Munich

Haya tena kama kaweaida wachezaji wa Chelsea wakijianda kwa safari ya  Munich nchini Germarn (kutoka kushoto) David Luiz, Didier Drogba katika mchezo wa Final ya mchezo Champions League kesho na  wa Bayern

Mkutano wa G8 waanza

Rais Barack Obama ameufungua rasmi mkutano wa mataifa yenye utajiri mkubwa wa viwanda G8 na kuungana na rais mpya wa Ufaransa kwa kuhimiza kwanza ukuaji wa uchumi badala ya kubana matumizi. Rais Barack Obama na viongozi wa mataifa mengine yenye utajiri mkubwa wa viwanda wameweka kando majadiliano juu ya matatizo ya kiuchumi ya mataifa ya Ulaya na Afghanistan hali ambayo itatamalaki mazungumzo ya mkutano huo wa wiki nzima na kuangalia njia za kuimarisha nguvu za mataifa ya dunia dhidi ya maendeleo kuhusu silaha za kinuklia za Iran na kuhimiza jibu la nguvu zaidi katika hali ya ghasia inayozidi kuporomoka nchini Syria. Barack Obama na Francois Hollande Obama atataka kusikilizwa na wahusika wakuu katika masuala yote katika mikutano ya G8 na jumuiya ya NATO. Majadiliano yatalengwa moja kwa moja au kwa kiasi fulani dhidi ya Urusi, ambayo inaonekana kuwa inazikingia kifua Iran na Syria na mkwamishaji mkubwa wa malengo ya Marekani kama vikwazo vya silaha dhidi ya Syri

Lifestyle risks for East Africans

World Health Organisation Director General Dr Margaret Chan The number of East Africans living with high blood pressure and diabetes is drastically increasing, says a World Health Organisation report released on Wednesday. It points out that though the trend is common to other developing and developed countries, it must not be taken for granted. The WHO’s World Health Statistics 2012 Report, includes data from 194 countries and has been released ahead of the World Health Assembly which begins in Geneva on Monday next week. It states that one in three adults worldwide has raised blood pressure and one in 10 suffers from diabetes. In its Africa survey, the report indicates that smoking, high alcohol intake and less physical activity is putting more men in East Africa in harms way “This report is further evidence of the dramatic increase in the conditions that trigger heart disease and other chronic illnesses, particularly in low-and middle-income countries,” the Di

Na Gazeti la Mwananchi: Dk Kigoda amng’oa kigogo wa TBS

Mkurugenzi wa TBS, Charles Ekelege. Na Ibrahim Yamola WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda ameiagiza Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kumsimamisha kazi Mkurugenzi wake Mkuu, Charles Ekelege. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Dk Kigoda alisema Mkurugenzi huyo wa TBS anatakiwa kusimamishwa kazi ili kupisha taratibu za kisheria ikiwamo suala la uchunguzi dhidi yake kufanyika. “Moja ya sababu iliyomfanya Rais afanye mabadiliko ya uongozi katika wizara hii ni Shirika la TBS. Kulikuwa na mjadala mkubwa bungeni kuhusu utendaji wake. Nimewataka bodi ya shirika hilo kumsimamisha kazi mkurugenzi huyo mara moja ili kupisha utaratibu mwingine wa kisheria kuanza.” Dk Kigoda ametoa kauli hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza na waandishi wa habari tangu kuteuliwa kwake na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni. Wakati akitangaza Baraza hilo, Rais Kikwete alizungumzia az

MWENGE WA OLIMPIKI WAWASILI NCHINI UINGEREZA

Maelfu ya watu wamejitokeza kutazama mwenge wa Olimpiki ukipita, kuanza safari ya kutembezwa kwa siku 7 sehemu mbali-mbali za Uingereza, kabla ya michezo ya London mwezi wa Julai. Bingwa wa mbio za jahazi, Ben Ainslie, ambaye ameshawahi kushinda medali tatu za dhahabu kwenye Olimpiki, alikuwa wa mwanzo kati ya watu 8,000 wataobeba mwenge huo - kuanzia Land's End, katika jimbo la Cornwall. Mwenge huo utatembezwa na watoto, watu waliojitolea, pamoja na wanariadha, kabla ya kufikishwa kwenye uwanja wa Olimpiki mjini London, tarehe 27 Julai.

Chelsea Anyakua Kombe la Champions League

Timu ya Chelsea wakionekana kupanga ukuta dhidi ya free-kick iliopikwa na Arjen  Robben's katika mechi ya fainali ya Champions League

Waziri Wa Habari Ana Kwa Ana Na CCTV

  Waziri wa Habari akiwa na mazungumzo na wanahabari wa CCTV . Picha na Benjamin Sawe MAELEZO WAZIRI MKUU

Maxence Melo Wa JF Na Beatrice Singano Wa Airtel

Ni kwenye ' Town Hall meeting' , Serena Hotel, jana. Ilihusu namna ya kueneza habari za afya kwa kutumia media.

Washiriki Ukumbini

' Town Hall Meeting' At Serena Hotel,  Dar Yesterday. Theme: Promoting Health Awareness  Using Media".

Musician Recaptures Tanzanians Lost Glory

Tanzania has regained its lost glory in world of music fame that has dwindled since the eighties. When the name of Tanzania is currently mentioned in international music circles the name of Ebrahim Makunja popularly known as Ras Makunja of FFU and his “The Ngoma Africa Band” aka FFU based in Germany cannot be slighted. FFU has earnestly strived to place Tanzania in the international music charts. It is the only Tanzanian band that is based overseas. Its contribution in the music industry both in Tanzania, East Africa and abroad is superb. The band has often been able to bring its records to radio stations back at home. Many of their hits touch the souls of their fans. Two of their hits, which are very popular in local radio stations and contained in “50 Uhuru Anniversary” CD are “Shangwe”, and “Miaka 50 ya Uhuru”. The rumba style songs are composed by band leader Ras Makunja. He pairs in singing with the comical solo guitarist Chris-B. Apart from the well composed lyrics and

Mwana muziki Marufu kwa jina la Chuck Brown Afariki Dunia Akiwa na umri wa miaka 75

View Photo Gallery — Chuck Brown dies at 75: The “godfather of go-go” has died By Chris Richards, Updated: Wednesday, May 16, 4:42 PM Chuck Brown, the gravelly voiced bandleader who capitalized on funk’s percussive pulse to create go-go, the genre of music that has soundtracked life in black Washington for more than three decades, died May 16 at the Johns Hopkins University hospital in Baltimore. He was 75. The death, from complications from sepsis, was confirmed by his manager, Tom Goldfogle. Mr. Brown had been hospitalized for pneumonia. Known as the “Godfather of Go-Go,” the performer, singer, guitarist and songwriter developed his commanding brand of funk in the mid-1970s to compete with the dominance of disco. Like a DJ blending records, Mr. Brown used nonstop percussion to stitch songs together and keep the crowd on the dance floor, resulting in marathon performances that went deep into the night. Mr. Brown said the style got its name because “the music j