Skip to main content

Posts

Showing posts from 2010

TID Poteza Bovuu Billiz Jana

Kazi ilifanyika Usikuwa uzinduzi wa albam ya SIFAI ya msanii nghuli TID. Mmoja wa mashabiki aliyehudhuria uzinduzi wa albam ya SIFAI akionyesha umahiri wake.

Breaking News: R&B Singer Teena Marie Dead At 54

By Nolan Strong and Grouchy Greg Watkins (AllHipHop News) R&B legend Teena Marie has died, her manager confirmed today (December 26th). Although no cause of death has been released as of press time, Teena Marie's publicist revealed that the singer had suffered a grand mal seizure last month in Los Angeles . Teena Marie, 54, was born Mary Christine Brockert. She recorded a number of hit singles in the 70's, 80's, 90's and the 2000's. Teena Marie was known for classic songs like "I'm A Sucker For Your Love" featuring Rick James, "Fire and Desire" featuring Rick James, "Behind the Groove," "Portuguese Love," "Dear Lover," "Out on A Limb" and "Square Biz,

Majabari ya Muziki Tanzania Kukutana

Grooveback na X Mass 2010 Ilikuwa Hiviii

MSHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010 CHRISTINA PETER AWA BALOZI WA MeTL…!!!

Mshiriki namba 2 katika Shindano la Giraffe Unique Model 2010 Christina Peter ambaye amechaguliwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) kuwa balozi wa kampuni hiyo katika kushiriki maswala ya kijamii pamoja na kutangaza bidhaa za Kampuni ya Mohemmed Enterprises kwa mwaka mmoja. Kushoto ni Mwakilishi kutoka kampuni ya Mohammed Enterprises Zainul Mzige mara tu baada ya kumkabidhi maua kwa Balozi wa Kampuni ya MeTL Christina Peter Balozi wa MeTL Christina Peter katika picha ya pamoja na wazazi wake Mr & Mrs Kitine. Picha za Shindano la Giraffe Unique Model 2010 zinafuata kaa tayari.

T.I.D live Perfomance

SMG, MACHUPA, SHIBOLI WAITWA STAZ

SAID MAULID WACHEZAJI kadhaa wanaocheza soka la kulipwa akiwemo Said Maulid 'SMG' na Athuman Machuppa wameitwa katika timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambayo itaingia kambini Desemba 27 kujiandaa na mashindano ya ‘Nile Basin’ nchini Misri. Kocha msaidizi wa timu hiyo Sylvestre Marsh ametangaza kikosi hicho jijini Mwanza akimwakilisha Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mdenish Jan Poulsen, ambaye yuko likizo nchini kwao Denmark. Marsh amewataja ‘SMG’ anayekipiga Marquis de Angola, Athuman Machupa anayekipiga nchini Sweden. Pia yumo nyota mpya wa klabu ya Simba, Ally Ahmed Shiboli, na Geofrey Taita wa Kagera huku pia mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete akirudishwa kundini na Mohammed Banka akitemwa. Nyota wengine walioitwa ni makipa Juma Kaseja, Shabani Kado na Mohammed Said. Walinzi ni Shadrack Nsajigwa ‘Fusso’, Stephano Mwasika, Aggrey Morris, Kelvin Yondani, Juma Nyoso na Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Viungo yupo I

WADAU WA HABARI IRINGA WAELEZA DUKU DUKU ZAO ,PROF BANGU ATOA RAI KWA WIZARA YA ELIMU

Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akifunga mkutano wa wadau wa habari mkoa wa Iringa ,mkutano ulioandaliwa na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa na muungano wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Wabunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao (chadema) kulia na Ritta Kabati wakijadiliana mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa wadau wa habari leo mjini Iringa Baadhi ya wanahabari mkoa wa Iringa wakisikiliza maoni ya wadau wa habari mbunge wa jimbo la Iringa Mchungaji Peter Msigwa(Chadema) akiwa na mbunge wa viti maaalum mkoa wa Iringa Mhe.Chiku Abwao (Chadema) wakisikiliza michango ya wadau wa habari leo Mkuu wa chuo cha Tumaini Prof.Nicholaus Bangu kulia ,mwenyekiti wa IPC Daud Mwangosi na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) wakisikiliza mijadala ya wadau wa habari leo Viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) wakiwa na wadau mbali mbali mara baada ya mkutano wao leo Mtoa mada k

Bado Tunamkumbuka Bob Marley

Tunamkumbuka pia nguli huyu katika anga za Hip Hop.

Mapambo Mengi Yalipambwa Mpaka Kufikia Leo

Hizi zilikuwa ni moja ya pilika pilika kufikia kuhadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Christo.

Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

SHIRIKA la Umeme (Tanesco) jana lilitangaza mgawo mpya na mkubwa wa nishati hiyo ambao utavifanya viwanda, maduka, ofisi na makazi kukosa umeme kwa kati ya masaa sita hadi 12 kwa muda wa mwezi mzima. Tangazo hilo la mgawo ambalo limekuja katika kipindi ambacho mjadala wa jenereta za kampuni ya Dowans ukiwa umeibuka tena, linatarajiwa kuongeza gharama za maisha kutokana na ukweli kuwa viwanda vingi vitalazimika kutumia jenereta katika uzalishaji licha ya Tanesco kutangaza kuwa vitapewa umeme nyakati za mchana. Wananchi ambao kipato chao kinategemea biashara ya samaki, saluni, na vinywaji pia wataguswa na makali hayo moja kwa moja wakati mabenki, vituo vya mafuta, mahoteli na makampuni mengine ya kutoa huduma yatajikuta yakiingia gharama kubwa katika utendaji wao. Tangazo la Tanesco limetolewa wakati kukiwa na ahadi kemkem za kumaliza kabisa tatizo la mgawo wa umem

Wishing You Marry X'mas & Happy New Year

JK Receives New Shiling Currency Note

1. The Governor of Bank of Tanzania Prof.Benno Ndulu today presented the new Tanzanian shilling currency note to President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete at Dar es Salaam State House this afternoon. The New Currency Note will be in circulation from January next year and they will be used alongside with the current bank notes. In the Picture The Central Bank Governor(left) Prof.Benno Ndulu presents a special album with new Tanzanian shilling currency notes to President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete while the Minister for Finance Dr.Mustafa Mkullo,(right) looks on. 2. President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete examines special security features in some of the new banknotes presented to him by the Governor of the Central Bank Prof. Benno Ndulu at Dar es Salaam State House this evening. 3. A senior Principal bank Officer, from the Central Bank’s Directorate of Banking, Mr.Juma Hassan Kimwaga shows President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, specia

2010: The Demise Of Rap Battles & Time To Fight For Unity

| By Chuck "Jigsaw" Creekmur Historically, beef and battling in as Hip-Hop as Apple pie is good ol’ fashioned apple pie is to America. But, will that continue as a new decade begins in 2011? Salt-N-Pepa did it. KRS-One did it. Roxanne Shante did it. 50 Cent did it. They all came up through the ranks of Hip-Hop, getting their true opportunity through battle/beef with another well-established entity in Hip-Hop. The rap battle is truly tied to Hip-Hop culture in a way that is unique and special. Ultimately, it is a sport. In fact, from the beginning, the artistic battle served as a tool of culture that prevented people from fighting and killing each other in real life. The metaphor soon changed as

Palitakata Eneo la Mzalendo Pub Jumamosi Iliyopita

Katikati ni Idd Baka Pandisha aliyevalia vazi jeupe.

Cheki Jamaa !!

Have u ever seen Devile walking naked? or Frog cross the fire? Antarakuno Sekinde ngoma ya ukae ..Daaa? Jamaa wanavamia znz tarehe 25 xmas day! Gymkana Hal... Come n see amazig! The al nite..Funika bov!

Groove Back X'mass &New Year