Mshiriki namba 2 katika Shindano la Giraffe Unique Model 2010 Christina Peter ambaye amechaguliwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL) kuwa balozi wa kampuni hiyo katika kushiriki maswala ya kijamii pamoja na kutangaza bidhaa za Kampuni ya Mohemmed Enterprises kwa mwaka mmoja.
Kushoto ni Mwakilishi kutoka kampuni ya Mohammed Enterprises Zainul Mzige mara tu baada ya kumkabidhi maua kwa Balozi wa Kampuni ya MeTL Christina Peter
Balozi wa MeTL Christina Peter katika picha ya pamoja na wazazi wake Mr & Mrs Kitine.
Picha za Shindano la Giraffe Unique Model 2010 zinafuata kaa tayari.
Comments