Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2010

Soma Hii!!

“Allah gives to every creature the ability to communicate with its own to be able to share with other members of its species, what its aim is, what its desire is and the fulfillment of the natural inclination of the species.” The highest manifestation of communication is language that He gives to the human to express its desires, its concerns, its needs, its disappointments, its frustrations. But all of it is manifested through language. …the level of energy, light, spiritual power that is contained in right words, communicated from the right motivation, energizes the brain of the recipient of such word. That energy is delivered to every part of the body, thereby, increasing the energy level of that person. - Minister Louis Farrakhan, as quoted in ‘Closing The Gap,’ Conducted and Compiled by Jabril Muhammad The storm of e-mailed feedback I received to my Hip-Hoppreneur ™ column last week at AllHipHop.com, “The Genius Of Floyd Mayweather, Jr.: Caricature (And Character) Outsells Talent”

Soma Hii!!

“Allah gives to every creature the ability to communicate with its own to be able to share with other members of its species, what its aim is, what its desire is and the fulfillment of the natural inclination of the species.” The highest manifestation of communication is language that He gives to the human to express its desires, its concerns, its needs, its disappointments, its frustrations. But all of it is manifested through language. …the level of energy, light, spiritual power that is contained in right words, communicated from the right motivation, energizes the brain of the recipient of such word. That energy is delivered to every part of the body, thereby, increasing the energy level of that person. - Minister Louis Farrakhan, as quoted in ‘Closing The Gap,’ Conducted and Compiled by Jabril Muhammad The storm of e-mailed feedback I received to my Hip-Hoppreneur ™ column last week at AllHipHop.com, “The Genius Of Floyd Mayweather, Jr.: Caricature (And Character) Outsells Talent”

ORYX YA GAWA VITABU SHELE YA MSINGI BOMA

io WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Boma Wilaya ya Ilala wakiigiza igizo lao kwa mgeni rasimi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaaam Jana mchana , ambapo igizo hilo lilionekana kuwa na mvuto likizungumzia baadhi ya mandhari ya shule yao kuhusu wamachinga waano pita njia ya Shuleni kwao wakati wa masomo kutokana na kuta ya kuzia kuwa imeanguka na hivyo kuwa na kero kwao katika masomo. MTANGAZAJI wa Radio Clouds FM , FM Kibonde akiwa ndiye mc katika hafla fupi iliyo andaliwa na Kampuni ya Oryx kwa ajili ya kugawa vitabu vya mitaala kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi za Dar es Salaaam jana katika hafla fupi iliyofanyika mchana kwenye shule ya msingi Boma iliyoko katika Wilaya ya Ilala. KUU wa Mkoa akiwa katika hutuba yake kwa baadhi ya Walimu wa Dar es Salaam janakwenye Shule ya Msingi Boma Ilala . MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam Wiliam Lukuvi akipokelewa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Boma , jana mchana , alipokwenda kukabidhi vitabu vya mitaala ya masomo vilivyotolewa na kamupuni ni ya Ory

ILI ENEO LA MIKOCHENI SASA IWE JICHO KWA WADAU HUSIKA!!

WAKAZI wa jiji wakiwa katika miangaiko yao ya kila siku , ni leo eneo la Mtaa wa Kongo Dar es Salaam , hali ikionesha kuwa na mvua zinazoendelea kunyesha kwa muda mrefu. NI maeneo ya Mikocheni gari lionekanalo likisukumwa , lilisukumwa kwa umbali mrefu sana , kwani lilizimika likiwa katikati ya maji katika bara bara iendayo Kawe Mikocheni leo saa za jioni. Ni ekaeka katika barabara ya Mikocheni leo. ZOTE ni eneo la Barabara ya iendayo Kawe , Mikocheni leo muda mfupi kuanzia sasa. HAPA ni Tanesco Mikocheni Dar , Muvua zimenyesha katika jiji zima kuanzia jana mpaka kuamkia leo , kikwazo cha kuingiza kipato leo sasa ilikuwa hivi , foleni kutoka Kariakoo kuelekea Mwenge shughuli hilikuwa we hacha tuuu.....!!! uku Mikocheni nako hali ndiyo hii. NI Mikocheni kulikuwa hivi , Japokuwa eneo hili mpaka kufika Kawe huwa kunaishi watu flani na Viongozi wa Serikali lakini hali ilikuwa hivi pamoja na kuwepo kwa Ofisi mbali mbali ikiweko Redio moja maarufu Clouds FM .

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Muasisi wa Under Sun

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais na muasisi wa Under The Same Sun, Peter Ash (kushoto) kutoka Canada ambaye ni albino na na Mkurugezi wa Utawala wa Under The Same Sun, Paul Ash kabla ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 26, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kipute Cha Jana Kuadhimisha Siku ya Ugonjwa Hatario wa Malaria Diniani

KIUNGO wa Simba B Mahanji Bulu (kushoto)akigombea mpira na beki wa Azam FC Josseph Anthony wakati wa mchezo wa kuzuia ugonjwa hatari wa Malaria dhidi ya Azam FC mchezo uliofanyika Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana.Simba ilishinda mabao 3-2. Wachezaji wa wa Simba B wakishangilia bao la tatu lililofungwa na mchezaji Harun Chanonga wakati wa mchezo wa kuzuia ugonjwa hatari wa Malaria dhidi ya Azam FC mchezo uliofanyika Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana.Simba ilishinda mabao 3-2.

NI DJ Victor na Mtoko wa Kujiachia !!

DJ Victor wa kwanza kulia ni moja ya madj wenye milazo Jjijini Dar es Salaam , hapo tuko katika usiku mmoja Club Masai.

Selengeti Boyz Wajiwinda Marawi Uwanja wa Karume

TIMU ya Serengeti Boyz ikiwa katika Uwanja wa Karume Ilala leo asubuhi . ikijiwinda na mechi kati Marawi Ijumaa ijayo.

Mahakama Nchini Kuendelea Kutumia Lugha ya Kiingereza

JAJI MKUU MH. AUGUSTINO RAMADHANI AMESEMA LEO MJINI IRINGA KWAMBA WAO MAHAKAMA KAMA TAASISI INAYOFUATA SHERIA WATAFUATA MAELEKEZO KWA MUJIBU WA SHERIA ILIYOPO AMA ITAYOWEKWA NA SI KUFUATA WARAKA. "SISI KAMA MAHAKAMA TUNAFANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA SIO WARAKA"ALISEMA JAJI MKUU, KWENYA HAFLA YA MASHINDANO YA VITIVO VYA SHERIA VYA VYUO VIKUU ILIYOFANYIKA CHUO KIKUU CHA RUAHA.WIKI ILIYOPITA WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO MH. GEORGE MKUCHIKA ALITOA WARAKA BUNGENI KUTAKA KILA IDARA YA SERIKALI KUENDESHA SHUGHULI ZAKE KWA KIMATUMBI, JAMBO AMBALO LILIPOKELEWA KWA HISIA TOFAUTI NA WADAU WENGI WAKISEMA HII NI HATUA NZURI KUKUZA KISWAHILI. WENGINE WAMEBEZA WARAKA HUO KWA KUSEMA UTAIFANYA TANZANIA KUBAKI KISIWA KWANI KWENYE MASUALA YA KIMATAIFA AMBAPO KINATUMIKA KIMOMBO, NCHI HII ITAACHWA NYUMA.

Crucial Geme linaitaji Mchakato!!

NI Shangai hiozza ama Dj Crucial wa kwanza kutoka kushoto na kulia ni Mie Machibya jana Usiku Club Masai Kinondoni , dj huyo kwa sasa yupo nchini akifanya fanya mikakati yakujipanga zaidi kwani anapiga anga za Uarabuni Disco awakaiti wa siku za nyuma alishabiga hapa Bongo katika kumbi mbali mbali maarufu kama Club Biilz siunajua dj aliye wai kupiga Club huwa anakuwa na mambo mengi , kuliko Dj ambaye ajawai kabisa kupiga muziki wa Disco nazungumzia mambo mengi kwa maana ya maujanja , Dj wa Disco nampigaji tu huwa wapo tofauti Mzuka huwa ni Dj wa Club kwanza.Basi Crucial anga za Uarabuni anapiga kiwanja cha Zinc Club , sasa anamipango mingi ya Kimaisha amenieleza usiku wa jana , ni mipango babu kubwa ya kimapinduzi katika anga za udj.

Taarifa ya Polisi Kwa Vyombo vya Habari

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kuratibu Silaha ndogondogo hapa nchini, Jumanne Aprili 27, 2010 saa 2.00 asubuhi itakutana ili kupitia maazimio ya mapendekezo ya mshwaada wa kurekebishaji sheria za kumiliki silaha hapa nchini. Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Abdallah Mssika, amesema kuwa Mkutano huo ambao utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuanzia saa 2.00 asubuhi, utawashirikisha baadhi ya Maafisa wa Wizara na Idara za Serikili zinazojihusisha na masuala ya kiusalama pamoja na baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini. Mkutano huo ambao pia utahudhuriwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai utafunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Lawrence Masha. Kutokana na umuhimu na uzito wa masuala yatakayozungumziwa siku hiyo, Wahariri mnaombwa kutuma waandishi na wapiga picha

Simba yaibika Kidedea ... Yawatafuna Mafarao Dimba la Taifa

NYOMI la mashabiki wa Simba kwa raha zao walifika Uwanjani kuwapa sapoti Wekundu wa Msimbazi, timu ya Simba. BAADHI ya Motocar za washabiki wa soka zilizokuwa zimeegeshwa katika maegesho ya Uwanja wa Taifa. BINGWA wa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ,timun ya Simba jana ilifanya vema , ikiwa ni mwanzo wake fresh wa kufunzu hatua ya makundi makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kifunga timu ya Haras EL- Hadood kutoka Misri kwa mabao 2-2. Simba iliwachukua dakika nane kipindi cha pili kunza karamu ya mabao, bao la kwa katika dakika hiyo lilifungwa na Emmanuel Okwikutoka na mpira uliookolewa kizembe na beki Mohamed Micky . Wekundu wa Msimbazi waliendelea kushambulia mara baada goli la hilo la kwanza ambapo dakika ya 71wa waliruhusu tena bao Haras EL- Hadoo lilofungwa na mshabuliaji nyota wa simba Mussa Hassan 'Mgosi' , golo lililo sababisha hadi mishwa wa mchezo simba kuongoza kwa bao 2-1. Simba :Juma Kaseja , Salum Kanoni ,Juma Jabu ,Kelvin Yondani, Joseph Owino ,

Hoo ni Zamaradi Huyuu !!!!

HUYU ni mwanadada Zamaradi Mketema ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds FM ya Jijini Dar es Salaam apa ni baada ya pambano la Simba na Yanga Uwanja wa Taifa.

Anza Kufanya Namna kama Uonavyoona Hapa.

UNAFANYA upendo kama huu kwa mwanao , kama ujaanza anza mfanye mtoto ajisikie kuinjoi.

Mwonekano wa Kuja Kuwa Mwamba wa Hip Hop

NI TDX ndio haswa ufahamika kiivyo pande za Kariakoo , ni mmoj ya mc mwenye harakati za kushaini vilivyo katika 'gemu' la Hip Hop.

Kibao Akiwa Mzigoni

IBRAHIM Nassor 'Kibao' Consultant Artst (TAYOA) , also Graphic designer & Painter .

Hooo Chiki Aina hii ya Converse

WOULD like to comment ?

Twanga Wapagawisha Club Bilicanas

TWANGA wakiwa mzigoni jana Usiku wa Jumatano Club Bilicanas .

Simba kwa Bao la Mapema Mliwapa Mazoezi Mashabiki!!

HAWA ni mashabiki wa soka waliokwenda kucheki mechi kati ya Simba na Yanga , ambapo takika chache tu mpira kuanza Simba iliigaragaza Yanga mapema , golo la kwanza hawa wanaokimbia awakuliona walikuwa nje wakifanya mipango ya kuingia , kulikuwa na nyomi bado nje ya Uwanja wa Taifa , kutokana na redio kuutangaza mpira ule waliokuwa wanaingia walianza kusikia mnyama kaisha fanya mambozz ,hapo ndipo ikawabidi kila aliengia tu katia mlango alianza kutimua mbio vibaya , wekundu wa Msimzai hivi ndivyo mlivyo wapamazoezi ya viungo mashabiki wenu.

Mambo ya Groove Back na Dj Peter Moe

KUTOKA kushoto ni Dj Kelvin anayefuata ni Dj Peter Moe katikati pembeni wako na mudau katika usiku mmoja siku ya jumamosi katika ukumbi wa Zhonghua Garden , barabara ya Haliassan Mwinyi karibu na Morocco Dar es Salaa. HAPO upigwa mamgoma na badhi ya wadau na mashabiki wa disko hilo ujongea mahara hapo kila usiku wa jumamosi .

Mjue Lutengano

NI Nyumba ya Sanaa Dar es Slaamu na mdau. HUYU n yeye ni Consult Art Cordnator (TAYO) akichora michoro ya kuelimisha jamiianaitwa Lutengano Mwakisopile. t

Hip Hop yapoteza Mtu Muhimu.

Guru alikuwa mwana Hip Hop wa kweli katika angaza ubishani , kwa maana ya kwamba alikuwa na msimamo katika anga za shughuli hizi ambapo msimamo kama huo ninao zungumzia hapa kwetu wenye msimamo kama huo hawapo ,alikuwa si mtuwakupelekwa pelekwa na kujongea kama ngo'mbe. Kwani mc wengi huwa wanakosa msimamo kwa kuwasujudia mabosi wao katika mikwanja mpaka wanafikia kupoteza misimamo yao hali inayowafanya wawe feki katika gemu. Uko mbele unaweza kupata taswira ya mc kama KRS One utapata kufahamu naongelea kitu gani.

TAIFA CUP - 2010

GROUP 'A' - DODOMA(a) Dodoma(b) Kigoma(c) Singida(d) U - 20 SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND1. 5/8/2010 A/B Singida V/S U-20 14:00 HRS JAMHURI ST.2. 5/8/2010 C/D Dodoma V/S Kigoma 16:00 HRS JAMHURI ST.5/9/2010 REST DAY 3. 5/10/2010 B/C U-20 V/S Dodoma 14:00 HRS JAMHURI ST.4. 5/10/2010 D/A Kigoma V/S Singida16:00 HRS JAMHURI ST. 5/11/2010 REST DAY 5. 12-May A/C Singida V/S Dodma 14:00 HRS JAMHURI ST.6. 12-May-10 D/B Kigoma V/S U-20 16:00 HRS JAMHURI ST. GROUP 'B' - TANGA(a) Tanga(b) Morogoro(c) Pwani(d) Temeke SN - DATE - CODE - TEAMS - TIME - GROUND1. 5/8/2010 A/B Tanga V/S Morogoro 14:00 HRS MKWAKWANI2. 5/8/2010 C/D Pwani V/S Temeke 16:00 HRS MKWAKWANI 5/9/2010 REST DAY 3. 5/10/2010 B/C Morogoro V/S Pwani 14:00 HRS MKWAKWANI4. 5/10/2010 D/A Temeke V/S Tanga 16:00 HRS MKWAKWANI 5/11/2010 REST DAY 5. 12-May A/C Tanga V/S Pwani 14:00 HRS MKWAKWANI6. 12-May-10 D/B Temeke V/S Morogoro 16:00 HRS MKWAKWANI GROUP 'C' - MWANZA(a) Mwanza(b) Kagera(c) Shinyanga(d)

Guru Mnyamwezi Aliye Tutoka

(AllHipHop News) The family of Gang Starr emcee Guru, has released a statement in hopes that AllHipHop.com and other media outlets would release the information to fans of the late rapper.The letter states that Guru, born Keith Elam, was comatose and remained unconscious from February this year until his death.The letter also disputes the legitimacy of any foundations purported to operate on Guru's behalf."The Elam family wishes to thank the fans of our son/brother/father uncle/nephew/cousin Keith aka GURU for the outpouring of love, concern and support.Our hearts are broken by the loss of someone we loved so much. GURU was devoted to his young son, who will most keenly feel his absence.GURU suffered from multiple myeloma for over a year. Accrued complications from this illness led to respiratory failure and cardiac arrest. As a result, GURU was in a coma from mid February until his death and never regained consciousness. Early on the morning of April 19th, he became hyperten

Simba yaichapa Mtibwa Jana 4-0

HAPA tulikuwa tunacheki mabao ya Simba na Yanga Uwanja wa Taifa katika pambano lilokuwa na fuuuul mshike mshike. MASHABIKI wa Simba jana wameendelea kushereheka baada ya kuifunga timu ya Mtibwa kwa bao 4-0 uko Morogoro na kumaliza Ligi ya Vodacom bila ya kufungwa hata mechi moja.

Soma Hapa Majuu Kunanii!!

Uchaguzi wa viongozi wa London unategemewa kufanyika tarehe 01-May-10. Mawazo yako ni mchango mkubwa kwa jumuiya na kama unazo sifa za uongozi na ari ya kuendeleza jumuiya mlango uko wazi kwa kila mmoja. Mahali: TANZANIA HIGH COMMISSION, 3 Stratford Place W1C 1AS, London. Tel: +44 (0) 207 569 1470 Muda: kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 10 jioni. Tunategemea ushirikiano wako wa dhati. G. Mboya – TA Director of Communication

Bungeni Dodoma Leo

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Kiteto Benedict Nangoro (kushoto) leo ndani ya Ukumbi wa Bunge -Dodoma. Picha na Mwanakombo Jumaa -Maelezo

kibao ni Kiboko wa Anga za Uchoraji Msome

NIKO na mchoraji Ibrahim akinikaribisha Nyumba ya Sanaa leo mchana. NI moja ya michoro ya Ibrahim niliyomkuta akiichora Nyumba ya Sanaa leomchana. MCHORO huu ni wa Ibrahim Nasoor nilianza kumfahamu vyema kupitia ofisi za Marco Tibasima zilizokuwepo eneo la Kariakoo Dar es Salaam , mchro huo unaelezea suala la mapemnzi si ya pupa kama ya Mazoe kwenye kitabu cha Ngoswe haya ni ya kisasa katika ng'azi za maofisini. NI nimemkuta leo mchana pale blog ilipotembelea Nyumba ya Sanaa Dar es Salaam, ni mhusika akifanyakazi kama Consultant Artst (TAYOA). ANASEMA yupo kazini akiwajibika katika Nyumba hiyo ya sanaa akichora michoro ya kuelimisha jamii katika kuepuka na anaibua migogoro inayohusu ngono katika jamii kupitia uchoraji ndivyo alivyoniambia anasema hali ni nzuri tu anachapa kazi kama kawa.

Kituo Cha Dalala Kwa Makoma Kinaweza Kugeuka Dampo!!!

NI Mwananyamala Kwa Makoma ilo nyuma ya wasafiri hao ni jalala taratibu kila kukicha taka zinaongezeka kuwa nyingi baadhi ya wasafiri hasubuhi wameonekana kuanza kukerwa na hali hiyo inayoweza kuibua mlipuko wa magonjwa , kwani imeonekana sehemu hii kutofuatiliwa na uongozi wa serikari ya mitaa ili suala hilo la utupwaji taka lisiendelee. MAMA mmoja leo ameeleza kuwa ilianza kiduchu kiduchu hali hii mwisho linaweza kuwa Dampo , kwani sehemu hii ni eneo la kituo cha Daladala ziendazo Kariakoo , Posta Mpya pamoja na Kivukoni Jijini Dar es Salaam.

Barabara ya Libya Ilala Maarufu Sana Kwa kuuza Mbogamboga

Mmm hiii hapa ni spesheli sana kwa kuuza matunda n.k. WAMEJIPANGA pembezoni mwa bara bara wakifanya biashara za matunda na mboga mboga . WAKINA mama wakiwa kwenye mkao wa kusubiria wateja , eneo ili limeisha zoeleka sana kwa kuuza mboga mboga. Eneo hili lina umaarufu wa ununuzi wa matunda , mboga za majani . NI mtaa wa Libya Ilala Jijini Dar es Salaam saa tisa mchana leo , bidhaa hizi kama matunda mboga mboga upatika hapa kwa hurahisi .