MASHABIKI wa Simba wakiwa wamebeba Kombe la Ubingwa wa Soka leo katika Uwanja wa Taifa uku Hassan Dalali akiwasubilia kulichukua na kuondoka Uwanjani hapo.
MAEGESHO ya magari ya mashabiki walifurika kushuhudia vigogo vya Soka nchini timu za Simba na Yanga ambapo Msimbazi imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Yanga katika pambano lililo kuwa na msisimko mkubwa , lilikuwa la kuvutia na awali timu zilionesha kustaharabika na katika kipindicha pili mambo yalibadilia sana baada ya mchezo kuwa na kasi mpaka kufikia wachezaji wawili wa Yanga kutolewa kwa kadi nyekundu.
Comments