SIO najifananisha na jamaa bali namuzimia msela huyu kwa mambo na hali ya ubishani.
ICE CUBE akiwa ameshika mikwanja .
Ice Cube
KUCHANANA KWENYE GEMU KUNALETA HESHIMA YA GEMU
HILI suala la kuchana kwenye 'gemu' kunaleta heshima kama hunaye unahufahamu naye vizuri unaye mchana .kwani gemu lina utoto mwingi wengi sasa ni machopima!!
Kama unamchana mtu mchane kiukweli inaleta heshima.Pac alikuwa akimchana mtu kimazima mazima imefika kipindi tuchanane ili heshima irudi kwani wengine huwa tuna sura za ukimwa hisiwe taabuuu.
Pac alishawi kumchana mtu akimwambia unafahamu ulikuwa unakuja kugonga hodi usiku tumelala na demu wangu mimi nashindwa kuamuka kukufungulia mlango ,demu wangu anaamuka kwa uruma anafungua mlango unaingia unalala sebuleni.
Hayani maneno ya mnyamwezi 2 Pac katika mazingira ya kubishana na mtuwake mmoja hata hivyo japokuwa mbishani wake aliishia kutukanaPack aliendelea kumtuliza mbishani wake kwenye gemu mpaka baasii , Pac alionesha utoto wa mjini mpaka mauti yakamfika.
Hakikisha unaye mbishia huwe unamfahamu vizuri ili akijifanya undumila kuwili unamwaga Ugali wake.

Comments