HAPA sasa ilikuwa ni Sherehe , watu waliendazao Kupati kiwanja cha Mzalendo Pub usiku wa jana katika disco la lenye umaarufu liitwalo' Fleva Nite' na makamuzi yalikuwa kama hapo , hapooooooo kama kiuno mshike huyo ni mambo muziki wa mwambao .... ni kali za mduara na maujanja ya madj ndio mwanzo wa kuchizika ki hivyo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments