Mkawaha wa Vitabu Soma unakukaribisha katika mdahalo wa wazi wa kukitambulisha kitabu kipya kinachohusu Ukombozi wa Afrika na Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mdahalo huu utafanyika Jumanne, Tarehe 20 Aprili 2010 katika Mkawaha wa Soma kuanziaa Saa Kumi na Nusu (10:30) Jioni.
Baadhi ya waandishi wa kitabu hiki, Salma Maoulidi, Prof. Chris Maina Peter, Helen Kijo-Bisimba, Prof. Faustin Kamuzora, Neema Ndunguru, Madaraka Nyerere, Prof. Marjorie Mbilinyi, Vicensia Shule na Prof. Issa Shivji watajumuika katika mdahalo huo.
Mmoja wa wahariri wa Kitabu hicho, Chambi Chachage, ataratibu mdahalo

Comments