Skip to main content

NICE MKENDA KUKAMUA LEO KAMA KAWA CLUB MASAI


Lucas Mkenda aka Mr Nice leo kuanzia saa tatu usiku atapanda kutumbuiza ukumbi wa Masai Club Kinondoni kwa kiingilio cha shilingi elfu nne na wapenzi wake wote wa muziki mnakaribishwa ndani ya mjengo .

Comments