WAKIOMBA Dua kwa pamoja timu zote mbili , mara baada ya pambano kumalizika.
MASHABIKI wa wekundu wa Msimbazi , Simba walionekana kufulika kwa wingi katika Dimba la Uhuru wakati wa mchezo kati ya timu ya Lengthens ya toka Harare Zimbawe waliotolewa nje ya mashindano hayo katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika baada ya kukichezea kichapo.
MSHAMBULIAJI nyota wa Wekundu wa Msimbazi timu ya Simba Mussa Hassani 'Mgosi' akiambaa na mpira ukubeki wa Lengthens Mike Mhungu akimnyemelea, Simba ilishinda 2-1 katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
Simba tayari itakutana tena na Mafaraowa Misri ambapo Wamisri sasa wanaitolea macho Simba katika Dua zao huko waliko.
Comments