NI Shangai hiozza ama Dj Crucial wa kwanza kutoka kushoto na kulia ni Mie Machibya jana Usiku Club Masai Kinondoni , dj huyo kwa sasa yupo nchini akifanya fanya mikakati yakujipanga zaidi kwani anapiga anga za Uarabuni Disco awakaiti wa siku za nyuma alishabiga hapa Bongo katika kumbi mbali mbali maarufu kama Club Biilz siunajua dj aliye wai kupiga Club huwa anakuwa na mambo mengi , kuliko Dj ambaye ajawai kabisa kupiga muziki wa Disco nazungumzia mambo mengi kwa maana ya maujanja , Dj wa Disco nampigaji tu huwa wapo tofauti Mzuka huwa ni Dj wa Club kwanza.Basi Crucial anga za Uarabuni anapiga kiwanja cha Zinc Club , sasa anamipango mingi ya Kimaisha amenieleza usiku wa jana , ni mipango babu kubwa ya kimapinduzi katika anga za udj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments