alikuwa na msimamo katika anga za shughuli hizi ambapo msimamo kama huo ninao zungumzia hapa kwetu wenye msimamo kama huo hawapo ,alikuwa si mtuwakupelekwa pelekwa na kujongea kama ngo'mbe.
Kwani mc wengi huwa wanakosa msimamo kwa kuwasujudia mabosi wao katika mikwanja mpaka wanafikia kupoteza misimamo yao hali inayowafanya wawe feki katika gemu. Uko mbele unaweza kupata taswira ya mc kama KRS One utapata kufahamu naongelea kitu gani.

Comments