MCHORO huu ni wa Ibrahim Nasoor nilianza kumfahamu vyema kupitia ofisi za Marco Tibasima
zilizokuwepo eneo la Kariakoo Dar es Salaam , mchro huo unaelezea suala la mapemnzi si ya pupa kama ya Mazoe kwenye kitabu cha Ngoswe haya ni ya kisasa katika ng'azi za maofisini.

NI nimemkuta leo mchana pale blog ilipotembelea Nyumba ya Sanaa Dar es Salaam, ni mhusika akifanyakazi kama Consultant Artst (TAYOA).
ANASEMA yupo kazini akiwajibika katika Nyumba hiyo ya sanaa akichora michoro ya kuelimisha jamii katika kuepuka na anaibua migogoro inayohusu ngono katika jamii kupitia uchoraji ndivyo alivyoniambia anasema hali ni nzuri tu anachapa kazi kama kawa.

Comments