CHEKI kombe la mabingwa wa soka la Tanzania likiondoka na mwenyekiti wa klab hiyo Hassan Dalali baada ya shangwe za Uwanja wa Taifa Jumapili mida ya saa moja , wekundu wa Msimbazi mwaka huu wamejenga historia mpya baada ya kuzibenjua timu kibao ikiwemo Yanga ,wamemaliza fresh Ligi sasa ni mkao wa kusubiria mafarao wa Misri .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments