Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2010

Dj Tass na Kiwanja cha Club Masai

DJ Tass akiporomosha burudani usiku wa jumatano hiliyo pita Club Masai Kinondoni jijini Dar es Salaam. DJ Tass akiwana msanii wa Hip Hop TDX katika pozzzzz lao usiku huo wa Jumamosi Club Masai.

The East African Bash

Fat Joe Deserved a Mention

Joe, the rap artist, has been stomping around Hip-Hop since the early 90’s and the years haven’t been perfect. But, gotdamnit, Fat Joe deserves a mention. Since his debut in 1993, the rapper seems to be hitting his stride again in 2010 with The Darkside Vol. 1. The album truly is a coming home for Joe, who took his art down South, saw the Terror Squad fall to pieces and duked it out with 50 Cent. Lets start the album from the ending. This is where you get some of the most potent and sincere raps from the one know as Joey Crack. The Darkside goes in on “Heavenly Father” when he reveals the inner issues Big Pun faced before dying in 2000. “Cheated with his brother, got damn this b**ch is ill probably the reason my n***a never left a will,” he says talking about Pun’s widow Liza Rios. The whole song is one of regrets and the shedding of the dead skin of the past. “I’m Gone” is another gem that’s produced by the great DJ Premiere. The song certainly evokes an era of purity and doubles as

Victor na Makamzi Club Masai Kinondoni

DJ Victor akiwa kwenye mashine kama kawa palikuwa apatoshiii jumatoano iliyopita Club Masai.

Back To The 80s

Housemate Afunua Moyo Wake kwa Mery

Meryl na Hannington, walikaa kwenye kochi huku wakiwa kwenye mazungumzo ya kina. Meryl aliyekuwa akisikiliza ushauri, aliamua kumpa ushauri wa kubadili. Meryl alieleza kwamba, Hannington wni mtu wa mwisho kuwa sambamba naye kwasababu alikuwa karibu yake. Hannington alikuwa akilikuwa akiipanga kuwasilikiza washiriki wenzake wanazungumzia nini . Hannington alisema kuwa, sababu moja iliyomfanya awe hivyo ni tabia aliyokuwa nayo kwasababu ni kitu ambacho anakipenda. Meryl alifafanua kwamba, tayari alivutiwa na mwanamme mmoja mwenye kujiamini, hata kama hana mwonekano mzuri, blakini kujiamini ni kitu kikubwa kilichomvutia kuhusu mwaname huyo. Meryl, baadaye aliendelea kusema kuwa, anahisi kwamba, Hannington hana uhakika na ndiyo sababu kila wakati anakuwa kama anaigiza. Hannington, katika kujilinda mwenyewe, ni njia mojwapo inayomfanya kuwa katika hali kama hiyo ambayo inamfanya kuwa na furaha.

Be aware !

Is there a refugee girl in Dakar-senegal refugee camp? It may interest you to know that there is nothing like Senegal refugee camp in Dakar, the capital of Senegal, that allows its girls to send fake emails to defraud innocent people through the Internet scam.. Please be AWARE of such emails AND don't reply them, because it does not make any sense for a refugee or some one else to choose you as his next of kin and you are not even residing in his/her next 39th country to where he or she lives. Thank you.

Hivi Inshu Kama hizi Unazijua !!

"Miss clara" / "EQUITORIAL TRUST BANK PLC LONDON" My Dearest , Goodmorning to you and how are you getting on?.I believe that you are doing well.thanks your interest and care about my present condition here in senegal.God will protect and reward you for taking care of an orphan and i will equally reciprocate your kind gestures to me. I am 21 years old girl living here in the refugee camp. I send and recieve emails at the church office here in camp.I used to be a first year law student in the university before the killing of my parents by the rebel and ever since then my life has not been what it use to be..I appreciated your interest to assist me transfer my money to your position pending my arrival to meet with you to start a new life. As i told you in my previous mail, iam presently living in the refugee camp here in dakar senegal as a result of the death of my parents. I fasted and prayed to God before he revealed to me that you are the right person to help

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Afariki Dunia

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Eliamani Mbise amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa. Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Msajili wa Mahakama ya Rufani Francis Mutungi imesema Jaji Mbise amefariki majira ya saa nne na nusu tarehe 29/7/2010 . Taarifa hiyo imesemakuwa taratibu za mipango ya Mazishi ambayo yatafanyika Arusha itatolewa baadae baada ya utawala kuwasiliana na ndugu wa marehemu. Aidha Bwana Mutungi amesema msiba umewekwa kwa muda nyumbani alipokuwa akiishi marehemu Mikocheni kwenye nyumba za viongozi wa Serikali. Marehemu Mbise alikuwa akifanya kazi katika kituo cha kazi cha Mahakama kuu ya Tanzania .

Shamba la Bibi latua na Stahili za Ngosha Mosha na Mbasha Wasome Wameahaishwa vipi !!!

Ni kava la kitabu kipya cha katuni kilichochorwa na Bashir Adams 'Mors'. Kimetolewa na kusambazwa na Bantu Entertainment Ltd. chini ya mkurugenzi wake Marco Tibasima. Kitapatikana mitaani kuanzia Jumatatu tarehe 2 Agosti, 2010 kwa bei ya tsh. 3000/- tu. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kukipata 0765927833. Marco Tibasima Artist/Graphic Designer PO Box 9974 Dar es Salaam, Tanzania tel: +255 754 308221 (in Tanzania) tel: +256 756 417507 (in Uganda) webpage: www.raisingvoices.org/marco. php Wasifu wa Mchoraji wa Shamba la Pesa Bashir Adams a.k.a Mors alizaliwa mwaka 1985 huko Ngarenaro, jijini Arusha. Alianza elimu ya msingi Ngarenaro Shule ya Msingi Mwaka 1994 hadi mwaka 2000. Elimu ya sekondari alisoma Kaloleni Shule ya Sekondari kuanzia mwaka 2001 hadi 2003, kisha akamalizia Temboni Shule ya Sekondari ya jijini Dar es Salaam mnamo mwaka 2005. Alianza kupenda uchoraji alipokuwa na miaka minne tu baada ya kumwona kijana mmoja wa rika lake waliyeishi naye mtaa mmoja aliyeitwa Yass

Kitabu Cha Shamba la Pesa Kutinga Sokoni Jumatatu

Mors ambaye ni mchoraji yumbioni kuingiza sokoni kitabu chake kiitwacho Shamba la Pesa , hapa akiwa katika kazi zake hizo za kila siku.

Kalapina Katika Kiwanja cha Club Billz Dar es Salaam

Kevin Twisa akiwa na mwana Hip Hop Kalapina jana usiku muda mfupi kabla ya kuingia Club Billicanas na picha ya pili Kalapina akiwa katika pozzz la blog muda mfupi baada ya kupiganaye stori za 'gemu'. TAYARI mwana hip hop huyo kutoka pande za Block 41 yumo katika orodha ya wasanii nyota kwenye majukwaa ya Fiesta .

Ni Binti Kutoka Sudan

HUYUNI Favor Birdford binti mrembo kutoka Sudan ambaye ni mdau wa blog hii napia naku tana naye kwenye Face book ni mrembo haswaaaa!

Ni Kazi ya Mchoro ya Mdau Marco Tibasma

MMOJA ya mchoro wa Marco Tibasma mchoraji mwenye kipawe kikubwa katika anga za uchoraji nchini utaenelea kuziona kazi zake pamoja na nyanja nyingine za ujasria mali.

Mos Kutinga na Kitabu cha Katuni Sokoni !!

MSANII anayekuja juu katika sanaa ya uchoraji nchini , Bashiri Adams ama Mos tayari kuwapa raha wapenzi wasomaji wa katuni kaa mkao wa kula kusoma kitabuchake kiitwacho 'Shamba la Pesa'.

Foxy Brown On Arrest: 'You Can't Keep A Good B**ch Down'

(AllHipHop News) Foxy Brown addressed her recent arrest during a performance at B.B. King Blues Club & Grill in Manhattan last night (July 25th). Foxy Brown, born Inga Marchand, was arrested last week on a felony charge, for another encounter with her rival Arlene Raymond in their Prospect Heights, Brooklyn neighborhood. Brown was arrested after a heated exchange of words with Raymond, in which she allegedly flashed Raymond while shouting “kiss my ass.” According to the New York Daily News, Brown, who pleaded not-guilty to the charges, brushed off the arrest during her performance . "This is what we tell all the haters: You can't keep a good b***h dow n," Foxy Brown told the crowd. "We makes bail." Brown, 30, pleaded not guilty to one felony count of criminal contempt of court for violating an order of protection. The rapper was ordered to have no contact with Arlene Raymond in May of 2008, after she was convicted of striking Raymond with a Blackberry during

JK in Kampala for the 15th African Union Summit

President Jakaya Mrisho Kikwete inspects guard of honor mounted by the Uganda People’s Defense Forces(UPDF) shortly after he arrived in the Ugandan Capital Kampala for the 15th African Union Summit yestarday afternoon. President Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Tanzanian Foreign Affairs Minister, Bernard Membe during the ongoing 15th African Union Summit at Munyonyo Speke Resort in Kampala.(photo by Freddy Maro)

NI Eneo la Msamvu Morogoro

NI makutano kunanjia za Iringa na Dodoma lazima dreva awe makini .

Ngwear Atosa Siasa !!!

ADAI yeye si Mwanachama wa Chama cho chote cha Siasa ndiyo asemavyo mtu mzima wa michano Ngwear.

Ni Mnara wa Ndovu Mart

Ni Mnara wa Ndovu Mart , unaonekana kuwa moja ya kivutio katika jiji la Dar es Salaam, kwani umewekwa pande nyingi tu za jiji hili la maraha.

Naughty by Nature: Hip-Hop’s Iconic Trio Marches Back

By Clayton Perry There are only a handful of recording acts, whose voices, personae and imagery will always be attached to the memory and legacy of hip-hop. Naughty by Nature is one of the celebrated few. The very mention of “O.P.P.” and “Hip Hop Hooray” will generate an instant reaction – even in the midst of a diverse crowd. And although the group is known for their catalog of massive party anthems, Naughty by Nature was able to strike a delicate balance in achieving mainstream popularity without losing an ounce of their street credibility. As Naughty by Nature celebrates its second decade in the music business, Treach, Vin Rock and DJ Kay Gee managed to squeeze some time of their busy schedules and settle down for an interview with Clayton Perry — reflecting on industry politics, the globalization of hip-hop and transitioning into the digital musical era. AllHipHop.com: Nearly a decade has passed since Naughty by Nature’s last studio album, IIcons . What

Karia Koo Mtaa wa Congo Wadau Wananunuliana na Kuuziana !!

PANACHANGANYA kimauzo na pilika pili za watu , kipato cha machinga kinalipa hapo mtaa wa Congo Jijini Dar es Salaam . Ni majira ya jiono leo kijua cha usoni kuzama. Hapa ni biashara ya kununuliana na kuuziana kwani nieneo maarufu sana.

Wezi Acheni Kuiba Vifuniko !!

NI kifuniko kilichopo katika barabara moja jijini Dar es Salaa , kinaonekana vizuri kwa mtazamo , lakini barabara nyingi zimeonekana kuibiwa kwa vifuniko vya aina hiyo nakusababisha alikuwa mbaya , kwani nihatari sana wezi wa mifuniko hiyo wanapo hacha waziiiii na kuzua jambo baya pengine kupatikana kwa ajari za barabarani.

NI FASHION FOR HEALTH

VODACOM Tanzania, through Vodacom Foundation, will this year sponsor a charity fashion show (Fashion 4 Health black & gold gala night) by Mustafa Hassanali in aid of the Zanzibar Mental hospital in Zanzibar on July 30th.The show is being in Zanzibar for the third year in a row and is organized by Explore Zanzibar.“As Zanzibaris it’s our responsibility and duty to accord a decent life to those seemingly neglected by society”, said Maryam Olsen, Managing Director of Explore Zanzibar.To support her calling, Vodacom Foundation and Mustafa Hassanali have joined forces to create a synergy that will benefit various people at the Zanzibar mental hospital.“This year we want to renovate the male ward and build a sports’ facility. For years, patients have been staying in sub-standard wards. Patients will be able to stay and learn in a fitting environment”, stated Mustafa Hassanali, who together with Explore Zanzibar supports the work of the Mental Hospital of Zanzibar (Kidongo Chekundu).Musta

Ni Katika Barabara ya Azikiwe Dar es Salaam

NI mandhari ya Posta Mpya , Azikiwe jijini Dar es Salaam zinazoonekana kupita ni baadhi ya Daladala zifanyazo safari maeneo mbali mbali jijini leo mida ya asubuhi.

Toyota Hilux - Double Cab

http://www.wilgrace.com/toyota-hilux-double-cab

Thanks from ZIFF and advice please

Hello, I just wanted to say a big thank you to all the journalists and bloggers and supporters that covered ZIFF this year. For those that came to Zanzibar, it was really great to meet you and great to read the articles of those that didn't come but still wrote about us. Asante sana! Laura from the ZIFF press office.

Hapa Ilikuwa Mwanzo wa ZIFF na Blog Yangu

Mwaliko wa ZIFF katika blog yangu machibya.blogspot. Soma hapo chini ulikuwa huo. Picha ya pili nisiku nilivyoanza kushughulika na tamasha baada ya kualikwa na kuanza kufanya kama ulivyokuwa ukiona katika blo g hii kazi ilivyokuwa ikienda sawiha ,picha ya kwanza ni viburudisho vilivyotumika kukata kiu , ilikufanya koo lilainike siku hiyo .

ZIFF AWARDS

Daniel Nyalusi ( ZIFF Manager)

DJ Juice Wakutana na Juice ya Machungwa

WALIKUTANA Dj Juice na Rapa wa Diamond musca aitwaye Juice ya Machungwa aliyesimama kushoto wakisalimiana kwa kushikana mikono jioni ya jumamosi Leaders Club Dar es Salaam. UTASEMA ninii juuyangu. POZI la kinamna wakiwa pamoja.

Sehemu Zenye Umaarufu Wilaya ya Temeke Dar es Salaam

KAWAIDA hapa ni lile ieneo ambalo Daladala ushusha abiria badala ya kupandisha mpaka sehemu maalum , siku za mpambano kama mechi ya Simba na Yanga ,badalaya kushusha katika kituo kilichopo Uwanja wa Uhuru , hali huwa tete siku za mechi zenye umaarufu. DIMBA la Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. MUONEKANO wa matanki ya mafuta uko Temeke , ni mandhali maarufu ya kueleweka pasipo kupotea kabisaa katika ukanda wa Temeke Jijini Dar es Salaam.

FIFA World Cup

There is no mistaking the main topic of discussion in the latest issue of FIFA World as our special June/July double issue concentrates solely on the global footballing extravaganza that is the 2010 FIFA World Cup™. The bumper-sized edition takes an in-depth look at all of the 32 teams who have qualified for the South African showdown as well as the star players who could make the difference between an early flight home or glory in the tournament final in Johannesburg on 11 July. We also go beyond the top players and likely line-ups to examine some of the wider social stories involving the participating teams. Find out, for example, why Dutch fans will feel at home in South Africa, the power that football has over the peoples of Honduras and Uruguay, and which of the rival group-stage coaches are regular five-a-side buddies. As well as looking forward, we are of course happy to also look back, with a summary of all 18 previous FIFA World Cup™ tournaments and a collection of 80 World Cu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akutana na Mtoto Mlemavu Ikulu Dodoma

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kushoto) wakiwa na mtoto Frank Charles Valia (9) I kulu ya mjini Dodoma leo asubuhi.Mtoto huyo Frank(watatu kushoto) na baba yake mlezi Khamis Said(wapili kushoto) walikwenda Ikulu ya Dodoma kumshukuru Rais Jakaya Kikwete aliyegharamia matibabu ya Frank huko India ambapo anatarajiwa kurudi baada ya miezi sita.Mtoto Frank alipata ulemavu wa kupinda mgongo baada ya kuanguka kutoka juu ya mti.

ZIFF 2010 Awards!

ZIFF 2010 Awards! Check out the website in 5 hours - www.ziff.or.tz - for a list of the winners! Twiga Stars – 18th July, Old Fort, 19:15-21:00 (This is a sneak preview of this film) 30 talented young female footballers come together as the national women's football team, affectionately nicknamed the 'Twiga Stars,' and prepare for their biggest competition ever. Following the Twiga Stars through the gruel of intensive training, the heartbreak of team cuts, and the tragedies of life that strike along the way... then on to incredible achievements. The Twiga Stars aren't just a team. They're a family. Cheer them on as they fight to prove wanawake wanaweza, meaning 'women are capable.' Director: Nisha Ligon will be present as will 25 of the Twiga Stars We will have the following sessions at the Q& A in the Seyyida Hotel at midday Nisha Ligon from Twiga Stars plus 25 Twiga Stars! Owen Alik Shahadah director of Motherland Jury Members to talk about their dec

Baskeli Dili

WAKAZI wa jijini Dar es Salaam , wakinunua baskeli ukuwengine wakiwa bize na mambo yao katika barabara ya Uhuru.

ZIFF ZANZIBAR

For many years ZIFF has made it a priority to provide a platform for Tanzanian film makers at this International Film Festival. ZIFF 2010 will again offer the chance to local film makers to exhibit their works and show them to the world of filmmakers and stake holders. The year’s festival will feature Tanzanian Film Stars like: Steven Kanumba, Cherrie Yakubu Khamis and Vicent Kigosi… come to the press conference at midday to interview these stars. From 09.00 on 17th July at The House of Wonders 09:00 - Olapong (143min) Star: Tino, Mzee Ulotu, Hashimu Kambi 11:30 - Babra Part 1 (90min), Star: Haji Adam-Baba Haji 13:30 - Babra Part 2 (65min), Star: Haji Adam-Baba Haji 14:40 - Huba (180min), Star: Mzee Ulotu, Neema, Kenyata From 09.00 on 17th July at Africa House 09:00 - Pay Back Part 1 (75min), Star: Kanumba 10:20 - Pay Back Part 2 (70min), Star: Kanumba 11:20 - Black Sunday (100min), Star: Monalisa, Mlela, Kanumba 13:30 - Nani (95min),

Karia Koo Leo Fresh Tuu.

NI eneo la barabara ya Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Slaam , baadhi ya wakazi wanaonekana kuwa bize na mpango muzima ni heka heka katika kuhakikisha majukumu yanaendelea .

Side Boy Licha ya Kuwana Mishemishe za Kuuza Mavazi lakini Nina Albam Sokoni

ANAITWA Said ama Side Boyanaingiza alibam yake ya Pili katika Soko la Mziki nchini , licha ya kuwa yuko fuull mishe mishe katika kitaacha maduka ya Karia Koo Jijini Dar es Salaam siku yoyote kuanzia leo albamu yake iitwayo 'Acha Waseme' itatinga katika mauzo ikiwa na ujumla wa traki takribani 8 zikiwemo traki kama 'Tafuta Utapata' , 'Nitakupenda Tu ','Sina Mtoto ' ft Ney Wamitego', 'Sababu ni Wivu ' ft Q-Jay . HAPA Side uwaanawababa mabinti kwa kuwapa maujanja ya nguo freshi kama unavyoona ni nyuma ya mtaa wa Congo. SIDE akiwa mzigoni ana sema mwaka juzi aliingiza albamu yake ya kwanza iliyoiitwa 'Kua Uone' na alibata baadhi ya mafanikio yalioenda sambamba kabisa na utambilisho wake kwa mashabiki.

Chaguo Letu!!

Nelson Mandela’s Dedication

The United Nations Information Centre (UNIC) in collaboration with the South Africa High Commission cordially invites the media to the first commemoration of Nelson Mandela International Day to be held on Friday,16 July 2010 at 1000am at Karimjee Hall. The commemoration is an opportunity to recognize Nelson Mandela’s dedication to the service of humanity across many fields - conflict resolution, race relations, promotion and protection of human rights, reconciliation, gender equality - and his contribution to the struggle for democracy both in South Africa and internationally. The Guest of Honor will be the Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation. The ceremony will be colored by statements from the Government, the UN and SA High Commission, Paper presentation on Mandela legacy by Prof Chris Maina Peter (UDSM) and perfomances. The observance of Nelson Mandela Day was established by General Assembly resolution 64/13 in November 2009. The Resolution

ZIFF Yaendelea Kutikisa Zanzibar

Press release for the 15 th – FILMS AND MUSIC TunaHaki – Old Fort, 20:10-21:50 A thought provoking documentary by Mason Bendewald , Tunahaki is the story of an African orphan, a teacher, and an American-volunteer, and their journey as they tumble from hope into reality. Two of the contributors from the film will be attending the festival. http://www.tunahaki.com/ My City On Fire – Africa House 14:00-14:10 A brave piece of filmmaking journalism…documentary filmmaker Dennis Onen ventures into his city after a bomb blast. Tomorrow in the Mambo Club! 23:00 Baby J – Zanzibari Group 23:30 Blackroots - Zanzibari Group 00:00 Bongolove – Zimbabwe Bongo Love, originally from Bulawayo and now established in the capital Harare, have been playing together since 2001. They call their style “Afrocoustic Vibes”, a fusion of traditional African acoustic instruments, the mbira (thumb piano from Zimbabwe), the marimba (Mozambique) the djembe/bon