JK akikagua moja wa faru weusi(black rhino) waliorejeshwa nchini kutokea Afrika ya Kusini hivi karibuni katika makazi yao ya muda huko mbuga ya Serengeti.Faru hao baadaye wataachiliwa na kuishi katika mazingira ya asili.Rais Kikwete aliwakagua faru hao wakati alipokuwa njiani akitokea mji wa Mugumu wilayani Serengeti ambapo alizindua mradi mkubwa wa maji na kuongea na wananchi.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu.
Comments