Skip to main content

Huu ni Mpango Mzima wa Yaliyojili Jana Club Billz

Daudi akishuka garini jana usiku Club Billz.

GARI ya Daudi ikiwa imeegeshwa kwenye pakingi ya Club Billicanas jana usiku.

TWANGA Pepeta ikiwa mzigoni jana usiku.

KAMUMBA akiufec Mlango wa Club Billz jana usiku kuwachabo wana Twanga.


BENDI ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta ikiwa katika harakati za kumiliki jukwaa kwa kazi safi ilioamba tana na vibao bomba vya nyimbo zao kundini.

WASANII nguli katika anga za uigizaji wa filam nchini , Ray aliyevaa shati jekundu pamoja na Kanumba wamwisho nyuma wakielekea katika mlango wa kuingia kwenye ukumbi wa Club Billicanas jana usiku.

Comments