NI kifuniko kilichopo katika barabara moja jijini Dar es Salaa , kinaonekana vizuri kwa mtazamo , lakini barabara nyingi zimeonekana kuibiwa kwa vifuniko vya aina hiyo nakusababisha alikuwa mbaya , kwani nihatari sana wezi wa mifuniko hiyo wanapo hacha waziiiii na kuzua jambo baya pengine kupatikana kwa ajari za barabarani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments