Mwaliko wa ZIFF katika blog yangu machibya.blogspot. Soma hapo chini
ulikuwa huo.
Picha ya pili nisiku nilivyoanza kushughulika na tamasha baada ya kualikwa na kuanza kufanya kama ulivyokuwa ukiona katika blog hii kazi ilivyokuwa ikienda sawiha ,picha ya kwanza ni viburudisho vilivyotumika kukata kiu , ilikufanya koo lilainike siku hiyo .
Comments