Kati kati ni mie Machibya nikiwa na wadau wa burudani Club Billz jana majira ya saa saba usiku nje ya ukumbi wa Club hiyo ambapo tulitoka ndani ilikurifureshi na hali ya hewa ya nje siunajua tena mambo ya kupiga stori nje huwa mwake kivile .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments