ANAITWA Said ama Side Boyanaingiza alibam yake ya Pili katika Soko la Mziki nchini ,
licha ya kuwa yuko fuull mishe mishe katika kitaacha maduka ya Karia Koo Jijini Dar es Salaam
siku yoyote kuanzia leo albamu yake iitwayo 'Acha Waseme' itatinga katika mauzo ikiwa na ujumla wa traki takribani 8 zikiwemo traki kama 'Tafuta Utapata' , 'Nitakupenda Tu ','Sina Mtoto ' ft Ney Wamitego', 'Sababu ni Wivu ' ft Q-Jay .

HAPA Side uwaanawababa mabinti kwa kuwapa maujanja ya nguo freshi kama unavyoona ni nyuma ya mtaa wa Congo.
Comments