Baada ya kumalizi muda wake wa miezi mitatu katika klabu ya SIMBA na kuondoka katika kiti cha usemaji wa klabu hiyo ,sasa klabu ya SIMBA imemrejesha msemaji huyo kuendelea na kazi yake kama awali.
Mwenyekiti wa SIMBA RAGE amesema kamati ya utendaji imekaa na kuamua kumrudisha NDIMBO katika nafasi yake kwa muda wa miezi sita kwa uangalizi kama atafanya vizuri watampa mkataba zaidi, lakini akishindwa kufanya vizuri ndani ya miezi sita ataondolewa katika nafasi hiyo.
Comments