Meryl na Hannington, walikaa kwenye kochi huku wakiwa kwenye mazungumzo ya kina. Meryl aliyekuwa akisikiliza ushauri, aliamua kumpa ushauri wa kubadili.
Meryl alieleza kwamba, Hannington wni mtu wa mwisho kuwa sambamba naye kwasababu alikuwa karibu yake.
Hannington alikuwa akilikuwa akiipanga kuwasilikiza washiriki wenzake wanazungumzia nini . Hannington alisema kuwa, sababu moja iliyomfanya awe hivyo ni tabia aliyokuwa nayo kwasababu ni kitu ambacho anakipenda.
Meryl alifafanua kwamba, tayari alivutiwa na mwanamme mmoja mwenye kujiamini, hata kama hana mwonekano mzuri, blakini kujiamini ni kitu kikubwa kilichomvutia kuhusu mwaname huyo.
Meryl, baadaye aliendelea kusema kuwa, anahisi kwamba, Hannington hana uhakika na ndiyo sababu kila wakati anakuwa kama anaigiza.
Hannington, katika kujilinda mwenyewe, ni njia mojwapo inayomfanya kuwa katika hali kama hiyo ambayo inamfanya kuwa na furaha.
Comments