Skip to main content

ZIFF LAUNCH AT ALLIANCE FRANCAISE



ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL
Zanzibar International Film Festival (July 10th-18th) ni tamasha kubwa kuliko yote ya utamaduni ya aina yake kwenye ukanda wa Afrika mashariki. Ikiwa imetimiza miaka 13 na kuudhuriwa kila mwaka na zaidi ya wageni 200,000 na kushirikisha nchi 43, ZIFF ni taasisi ya wazanzibari yenye kulenga zaidi filamu za kiafrika huku ikisherehekea na kuthamini utajiri wa tamaduni zilizopo ndani ya ukanda huu na zaidiTofauti na tamasha lingine lolote, hili ni tajiriba ya aina yake ya tamaduni za kiafrika. Hakuna zuria jekundu, Umaridadi na waandishi wa habari za udaku.ZIFF ni tamasha linalokuja mara mmoja tu kwa mwaka, ni nafasi ya pekee kwa Wazanzibari kujumuika pamoja na kutazama filamu kwenye viwambo vikubwa. Kwa mwaka huu filamu zote zitaonyeshwa bure kwa wakazi wote wa Zanzibar!ZIFF’s theme this year’s is Hopes in Harmony.Mwishoni mwa mwaka huu Zanzibar itafanya uchaguzi mkuu wa serikali. Kuna historia ya machafuko kipindi cha uchaguzi kwa kutazama uchaguzi uliopita mwaka 2005 kati ya wanaounga mkono upinzania na polisi. Mbiu ya tamasha kwa mwaka huu ina angaz matakwa ya watu wa kisiwa hiki ya amani na muafaka.Filamu ya ufunguzi, ni filamu yenye tunzo inayo muhusu mwanamziki maarufu Youssou N’Dour, I Bring What I love (Naleta nachokipenda), inayozungumzia ]addresses the themes of religious tolerance, harmony and peace.“I Bring What I Love” imedhaminiwa na SIGNIS.Key Facts & Figures in 2009• Waudhuriaji Mji Mkongwe: 45,000• Waudhuriaji Dar es salaam: 200,000• Wageni toka nje: 12,000• Nchi zilizo shiriki: 43• Filamu zitakazoonyeshwa mwaka huu: 100Vitu Vya Kutazamia Mwaka Huu…Fainali ya Kombe la dunia! Kwa kuzindua tamasha 2010 tutaonyesha mechi ya fainali ya kombe la dunia ndani ya Ngome Kongwe.Filamu ya ufunguziYoussou N’Dour. I Bring What I Love Ni filamu yenye tunzo nyingi. Ya kuhamasisha, inayotupeleka kwenye safari ya kimziki, yenye ushuhuda wa nguvu ya sauti ya mtu mmoja kuhamasisha mamilioni. Muongozaji wa Filamu: Elizabeth Chai Vasarhelyi. Imedhaminiwa na SIGNIS.Nipe Jibu: Kuonyeshwa kwa mara ya kwanza . Filamu ya kwanza ya kuchanganya Muziki na kuigiza Muongozaji Nadine Louise Fasera. Nipe Jibu ni filamu nzuri ya Kiswahili yenye kuchanganya muziki iliyotengenezwa kwa mtazamo wa kisasa na kitamaduni kwa simulizi iliyochangamka juu ya binti yatima anayeishi kwenye maisha ya ndoto.My Policy: Kuonyeshwa kwa mara ya kwanza. Kijana mdogo mfanya biashara anapigwa risasi kwenye siku yake ya kuzaliwa akiwa anarejea nyumbani kwake akitokea kwenye tafrija yake kusherehekea siku hii muhimu akiwa na mchumba wake, Victoria. Wiki chache baadae, Yule aliyempiga risasi amjia na kumchoma kisu hadi kufa. Kwa kupagawa na pigo hili, Victoria aamua kuhama Montreal na kuanza maisha mapya, Lakini muuaji amjia nay eye pia.... Muongozaji: Phad MutumbaMotherland: African premiere - Kuonyeshwa kwa mara ya kwanza AfricaAna’s Playground: African premiereLamu’s Maulid: world premiereInside Life: world premierePumzi: East Africa’s first ever science fiction filmA sneak preview of Twiga StarsMuzikiZIFF 2010 Itakua ikisakata kwenye burudani ya muziki na… Dully Sykes – AKA Mr Misifa ama Mr Chicks, Msanii anayetambulika sana kwa miondoko ya dancehall Tanzania. AY, Msanii anayengara ndani ya Africa Mashariki akiwakilisha vyema Tanznia na balozi wa burudani Tanzania, Kidumu , Ndiye mwanamuziki maarufu Africa Mashariki toka Burundi anayeshikilia Tunzo nyingi ikiwemo tunzo ya Muziki bora wa Afrika Mashariki kwa Tunzo za Tanzania Music Awards, Body Mind Soul Bendi ya watu 6 kutoka Kaskazini mwa Malawi wanaopiga mziki wa kiafrika wenye vionjo vya Jazz, Windhund featuring Sekembuke & Siga bendi kutoka Austria inayotumia vionjo vya kizungu na kiafrika, ushairi na sanaa ya simulizi ili kuleto vionjo vipya na vya aina yake kwenye ulimwengu wa muziki.Filamu za Watoto!Kwa kushirikiana na taasisi ya filamu ya Kidanish, Maonyesho ya filamu za Watoto zitaonyeshwa makundi makubwa ya Watoto, zikiwa zimetafsiriwa kwa Kiswahili kwajili ya Watoto na vijana wa Mji mkongwe.Art exhibtions"Hopes in Harmony" (Matumaini yenye Kuafikiana) – Onyesho la picha yanayoletwa na mpiga picha toka Italy, Carlo Deste"Colour Bash" – Uchoraji wa vitenge kutoka pande mbalimbali za Afrika, na Mahelia de RandamieArtwork kutoka wakina mama wa Iranian, Hii inaletwa na Ubalozi wa Iranian embassykwa kushirikiana na Soko Filam, ambapo watengeneza filamu na wachongaji toka Zanzibar wanakuja kuonyesha na kuuza bidhaa zao..TasniaZIFF ni tukio muimu kwenye jumuiya ya Cinema duniani. Festival Forum na Festival of Festival program inatoa nafasi kwa wasambazaji, mapromota, waongozaji wa filamu na waandaji kukutana ili kukomaza mizizi kwenye tasnia ya filamu kwenye nchi zinazoendelea. Mwaka huu wawakilishi toka Trinidad na Tobago, Uganda, Holland, Iran, Mexico and Italy watashiriki ZIFF kujadili nafasi ya matamasha ya filamu kwenye nchi zinazoendelea.WarshaZIFF itaendesha warsha tatu wakitoa upendeleo kwa ushiriki wa waandaji filamu toka ukanda huu wa Afrika mashariki kwa waandaji wenye kuonyesha hari na vipaji vyenye mlengo wa kuibuka kwenye tasnia hii.WARSHA ZA NAMNA YA KUOMBA MISAADA YA KIFEDHA KUANDAA FILAMU NA WARSHA – warsha itaongozwa na wakufunzi toka Sweden and UgandaUANDAAJI WA MAKALA: CONNIE FIELD – Warsha hii ya siku nzima italeta mtazamo mzima wa namna ya kuandaa makala chini ya usimamizi wa mshikiliaji wa tunzo ya uandaaji wa makala(producer / director), Connie Field.CINEPHILMS:UTENGENEZAJI WA FILAMU KUTUMIA SIMU YA MKONONI – Hii warsha ya aina yake itaongozwa na Jonathan Dockney wa chuo kikuu cha Natal South Africa. Utengenezaji wa filamu kwa kutumia simu za mkononi ni teknolojia inayo ibuka kwa kasi sana. Njo ujifunze jinsi ya kutengeneza filamu kwa simu!Tafadhali bonyeza hapO kwa maelezo zaidi:
www.ziff.or.tz
ama
www.ziff.or.tz/pressAsmah Makua(Swahili Press)asmahmakau@yahoo.co.inTel no: 0713711413Laura Martin-Robinson(English language Press)press@ziff.or.tzTel: +255 782689845

WADAU wanasikiliza namna mambo yanavyo endelea ukumbini Allience Francise leo jijini Dar es Salaam palikuwa poa majira ya asubuhi.






NI saa nne asubuhi Zanzibar Intonational Film Festival (ZIFF) , walifanya mkutano na waandishi wa habari na wadau wengine, mkuntano ambao ni maalumu kwa ufunguzi wa Tamasha la Jahazi la mwaka huu .Kutoka kushoto ni Ibrahim Mitawi ambaye ni Technical wa ZIFF , halafu Martin Mhando ambaye ni Mwenyekiti wa ZIFF , halafu Daniel Nyalusi ambaye ni Meneja wa tamasha hilo wakizungumza na waandishi wa habari na wadau wengine wa muziki na filamu kuhusu maandalizi ya ya ZIFF kwa mwaka huu.













Edward Lusala ambaye ni Mkurugenzi wa wa Maracas na msimamizi wa shughuli za muziki katika ZIFF mwaka huu . Akiongea na wadau leo saa nne asubuhi







Hapa kulikuwa na mambo ya vyoda , siunajua kulainisha koo kama kawa.





Muda mchache uliopita blog ilikuwa katika kufuatia mualiko huu katika barua pepe ya iliyotumwa katika blog hii,
Hi,This is an official Invitation to ZIFF Launch at Alliance Francaise on 3rd July, 2010 from 10am to 12noon Attached Please find Invitation Card.You are warmly welcome. RegardsDaniel NyalusiFestival Manager mambo ni kama unavyoona mkuuu.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.