Gari yenye namba za usajili T614ASZ likiwa kwenye mtaro baada ya kufeli kwa Break wakati likiwa kwenye mwendo mkali leo Alfaji na kuvamia makazi ya watu , eneola Kigogo
NI hatari sana hii kudadekii.
HAPA vinaonekana viazi vikiuzwa ni Jijini Dar es Salaam.
MOJA ya mambozz yanayofanyika hapa Bongo Dar es Salaam , ni watu wakiwa katika pilika pilika za kimaisha .
Comments