press_conference_Dennis_Onen_by_Peter_Bennett press_conference_Nakamya_Molly_and_Dennis_Onen_by_Peter_Bennett press_conference_Nakamya_Molly_by_Peter_Bennett press_conference_Uli_M_Schuppel_by_Peter_Bennett MTAYARISHAJI wa filamu Dennis Onen kutoka Uganda akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Al sayyeda kuhusu filamu zake My City on Fire na The Painter zitakazoonyeshwa kesho kwenye tamasha la ziff linaloendelea visiwani zanzibar
Mtayarishaji Nakamya Molly na Dennis Onen kutoka Uganda wakizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa hotel ya Al sayyeda kuhusu filamu yao ya smoking for money.
Mtayarishaji wa filamu kutoka Uganda Nakamya Molly akijibu swali la waandishi wa habari katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika kwenye hoteli ya Al sayyeda leo mjini Zanzibar.
Mtayarishaji Uli M Schuppel akizungumza na waandishi wa habari leo kny ukumbi wa Hoteli ya Alsayyda, mjini Zanzibar kuhusu ushiriki wake katika tamasha la 13 la filamu Ziff
Picture by Peter_Bennett
Rgrds
Asmah makau Press Officer
Zanzibar International Film Festival
Ngome Kongwe
PO BOX 3032
Zanzibar
Tanzania
Comments