Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2010

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA USAJILI WA NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI 1. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitoa agizo kuwa nambazote za simu za mkononi zisajiliwe kati ya Julai 1 2009 hadiDesemba 31, 2009; na baadaye muda huo kuongezwa hadi tarehe30 Juni 2010 ikitamkwa wazi kuwa muda huo wa ujasilihautaongezwa tena. Sababu za kuanzisha utaratibu wa kusajilinamba za simu zimeelezwa mara kadhaa zikiwemo:(i) Kuwalinda watumiaji dhidi ya matumizi mabaya ya huduma zamawasiliano(ii) Kuwezesha na kurahisisha utambuzi wa wateja watumiapohuduma mbalimbali kama M – Pesa, Z-pesa, ZAP na hudumanyingine za malipo ya Ankara kama za Umeme, Maji,Televisheni n.k.(iii) Kuimarisha usalama wa nchi.(iv) Kuyawezesha makampuni ya simu kuwafahamu wateja waovizuri zaidi ili kurahisisha na kuboresha utoaji wa hudumakwao.2. Wakati tunakaribia tarehe 30 Juni 2010, utaratibu umepangwakupitia Makampuni ya simu kuwa kuanzia tarehe 1 Juni 2010kuhakikisha laini yoy

Duu ..!! Mbwa Wakitinga Sokoni

Mbwa: Mfanyabiashara wa wanyama kama Mbwa akiwapeleka wanyama hao kwenye soko ilikupata wanunuzi .Soko la wanyama hao lipo Victoria House kama alivyonaswa na Kamera yetu Dar es Salaam juzi.

Kijana Akamata Siti ya Daladala Kupitia Dirishani

Bora niwai Kwa Kupitia Dirishani !!

NYAKATI za usafiri mgumu katika jiji la Dar es Salaam , kijana akiingia kupitia dirishani katika daladala liendalo mbagala Kariakoo jioni hivi kari.

Msome Mtangazaji wa Injli Huyu

Injili: Mtangazaji wa neno la Mungu akiwa na watoto wake (jina halikupatikana mara moja) akifikisha ujumbe kwa madereva na Abiria wanaotumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi na Kawawa Dar es Salaam hivi karibuni.

Selikari Imesema Jumla Ajira 1,313, 561 Zimepatikana

MAGRETH KINABO NA BENJAMIN SAWE MAELEZODODOMA. SERIKALI imesema kwamba jumla ajira 1,313, 561 zimepatikana katika kipindi cha mwaka 2006 hadi kufikia Desemba mwaka 2008 kwa sekta binafsi na Aprili mwaka huu kwenye sekta ya umma, ambapo sekta ya isiyorasmi inaongoza kwa asilimia 81.7 ya ajira zote. Aidha katika sekta hiyo iliyoongoza wananchi wamejihusisha zaidi kwenye shughuli kama vile biashara ndogondogo na utoaji huduma. Hayo yalisemwa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk. Makongoro Mahanga wakati akijibu swali na Mbunge wa Bumbuli(CCM) William Shellukindo lililouliza kuwa ni maeneo gani ambayo yameongezeka ajira kwa asilimia katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CCM). Akijibu swali hilo , Dk. Mahanga alisema ongezeko la ajira kwenye sekta isiyorasmi kunachangiwa na sababu ya urahisi wa kuanzisha shughuli ndogondogo ambazo zinahitaji mtaji mdogo, urahisi wa upatikanaji wa maligahafi, miradi kumilikiwa na kaya, mahitaji ya tek

Serikali Kuchukua Juhudi za Makusudi Kuimarisha Huduma za Afya

SERIKALI imesema kwamba inachukua juhudi za makusudi kuimarisha vituo vya kutolea huduma za afya vilivyopo kwa kuviboresha na kuongeza idadi ya watumishi wa kada mbalimbali. Hayo yalisemwa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Aisha Kigoda wakati akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Esther Nyawazwa( CCM) lililouliza kuwa hospitali ya Wilaya ya Geita inahudumia kata 33 na ina madaktari bingwa wawili na upanuzi wake unasuasua je ni lini Serikali itarekebisha matatizo hayo. Akijibu swali hilo Naibu Waziri huyo alisema Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi(MMAM) inachukua juhudi za makusudi kuimarisha vituo hivyo katika mwaka wa fedha wa 2010na 2011. hivyo hospitali hiyo inatarajia kupta madakatari wawili na madaktari wasaidizi watatu. Dk. Kigoda aliongeza kwamba ili kuboresha huduma za afya ziendane na ongezeko la idadi ya watu na kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya wilaya. halmashauri ya wilaya ya Geita imejenga kituo cha faya cha N

Capital-Plus International

The Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) formerly the Board of External Trade (BET) was transformed recently to oversee the growth and development of trade in the country. Speaking in Dar es Salam yesterday, TanTrade Director General, Ramadhan Khalfan said that the fair needs maximum coverage to woo investors as well promote the local businesses and products. “This year’s trade fair promises to be one of the best events ever organized in the recent years. Everything is in place to ensure the visitors enjoy their time during Saba Saba”, he said. He said CPI experience would be vital in communicating to the outside world about the trade fair which has attracted over 16 countries. “We are counting on CPI vast experience in public relations and marketing communications to promote the TanTrade activities as well as the trade fair”, he added. On his part, CPI’s Head of Public Relations and Media, Mr Raymond Kanyambo said that his company was happy to be associated with the trade f

Panel Discussion

documentary has claimed that Michael Jackson simulated his high-pitched voice and actually sounded more like Barry White.

Have your say: Michael Jackson In Gone Too Soon, investigative reporter Ian Halperin allleges that the popstar's trade mark high-pitched voice was an act. Halperin said: "A couple of times when I spoke to Michael I thought his voice did not sound like that high-pitched voice which he put on for so many years and I respect that. That was his showbiz persona. Some people described his voice as a cross between Barry White and Richard Gere." Halperin also claimed that the King of Pop frequently wore a cape whilst he was at home: "A lot of times around the house in the final months of his life, he'd always wear a cape. He was fascinated with super heroes. He was a big fan of comic books. Michael was a very playful person," he said. Gone Too Soon featured interviews with some of Jackson's most trusted inner circle, including close friend Deepak Chopra, manager Frank Dileo, spiritual adviser June Gatlin and his personal trainer and chef.

Kweli Hakielimu!! ...

Kutokana na taarifa zilizotolewa na gazeti la HabariLeo la tarehe 19 Juni ukurasa wa 4, na kurudiwa kwenye tahariri ya gazeti hilo la tarehe 20 Juni ukurasa wa 6, HakiElimu inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu maana, malengo na ukweli wa takwimu za ujenzi wa nyumba za walimu zilizotumika kwenye tangazo letu kwa wananchi. Tangazo ujumbe wa maneno yafuatayo:- ..“.Mwaka 2008, Serikali ilipanga kujenga takriban nyumba za walimu 22,000, lakini zilizojengwa ni kama nyumba 300; yaani asilimia moja tu. Kutokana na upungufu wa nyumba za walimu, walimu wachache waliopo shuleni wanalazimika kufundisha kwa muda mrefu na hata kufundisha masomo wasiyoyasomea. Hali hii inadumaza elimu. Kuna upungufu mkubwa wa nyumba za walimu. Japo hazitoshi, ni muhimu sasa Serikali itekeleze ahadi ya kujenga nyumba 22,000 za walimu, kama mpango wa MMEM unavyosema, kwa mwaka 2010/ 2011”. Tunapenda wananchi wafahamu ukweli ufuatao:- 1. Chanzo cha takwimu zilizotumiwa kwenye tangazo hilo ni Ripoti ya Serikali ya Ut

KRS-One:The 4-Part Interview

Whenever a listing of Hip-Hop’s “greatest” emcees is created, one name consistently ranks in the top tier: KRS-One. As a solo artist and founding member of Boogie Down Productions, Lawrence "Kris" Parker has maintained unprecedented levels of notoriety and respect throughout his quarter-century reign as “The Teacha.” Within the past few years, KRS One has received countless “Lifetime Achievement” Awards – honoring his impact on Hip-Hop culture, as well as his philanthropic efforts revolving around the Stop the Violence Movement. On October 6, 2009, his first book, The Gospel of Hip-Hop: The First Instrument, was published under the powerHouse imprint. In the midst of a promotional tour for the Gospel of Hip-Hop, KRS One managed to squeeze some time out of his busy schedule and settle down for an interview with Clayton Perry—reflecting on the philosophical teachings of Edgar Cayce, the prophetic wisdom drawn from Louis Farrakhan, and the burden of responsibility Hip-Hop’s emce

The Roots, John Legend Tell Fans To 'Wake Up!' On New Album

(AllHipHop News) The Roots and John Legend have teamed up to create the new album Wake Up! featuring remakes of uplifting soul music from the 1960’s and 70’s Both The Roots and John Legend were inspired by the 2008 elections and decided to collaborate on a single. That quickly evolved into Wake Up!, which features remakes of songs like Baby Huey and the Babysitters’ “Hard Times,” “Little Ghetto Boy” by Donny Hathaway and “Wholly Holy” by Marvin Gaye. "When these songs were written, people were more spiritually in tune," said Roots drummer/musical director Ahmir "?uestlove" Thompson. "It was fresh from the civil rights era and there was a feeling of hope that maybe, yes, someday we will all be free. In 2010, not so much."Wake Up! contains just original single, the track “Shine,” which was written by John Legend for the upcoming documentary Waiting for Superman. Wake Up! will feature guest appearances from various artists, including Common and Melanie Fiona,

Afeni Shakur Talks 'Dear Mama' Inclusion In National Recording Registry

Tupac Shakur’s mother Afeni Shakur was honored that the Library of Congress included her son’s tribute song “Dear Mama” in the National Recording Registry. Tupac recorded the track in early 1995, just before he was sentenced to a year in the Clinton Correctional Facility on a sexual assault charge. The song was one of 25 important recordings chosen by the Library of Congress for preservation due song’s cultural and historical importance. "I’m incredibly touched. It could have been any song, but I’m honored they chose ‘Dear Mama’ in particular,” Afeni Shakur said. “It is a song that spoke not just to me, but every mother that has been in that situation, and there have been millions of us. Tupac recognized our struggle, and he is still our hero."In December of 2009, The Vatican selected Tupac Shakur’s hit single “Changes” as one of its “12 Favorite Songs.”

Former Murder Inc. Artist Lloyd Links With G-Unit's Lloyd Banks

A variety of rappers have called upon R*B crooner Lloyd to help deliver them hit singles this Summer, including G-Unit member Lloyd Banks. Lloyd, whose vocals are heard on 2009’s smash single “Bedrock,” is featured on four new singles that will drop this summer: Nipsey Hu$$le’s “Feeling Myself,” Chamillionaire’s “Make a Movie” featuring Twista, “Go, Go, Go” by newcomer J. Futuristic and Lloyd Banks’ “Any Girl.”According to Lloyd, he would have never been able to work with an artist like Lloyd Banks, due to the ongoing feud between 50 Cent’s G-Unit and Irv Gotti’s Murder Inc. collective of artists. “There was no hesitation on my part because we never had direct issues,” Lloyd told AllHipHop.com of his collaboration with Lloyd Banks. “We met for the first time in the studio and everything just clicked. It felt like it was our 10th song together.”Lloyd is currently preparing to release his debut album for Interscope Records and his fourth studio album overall. The release could feature a

Mwaipopo Ndie Mshindi wa Kombe la Dunia Trivia SMS

Ully Mwaipopo mkazi wa kimara jana alizawadiwa Luninga aina ya LCD nchi 32 iliyounganishwa na king’amuzi cha DSTV kutoka kwa mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera (kulia) kwa niaba ya mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS, Ganga Mlipano. Katikati ni Afisa Huduma wa DSTV, Carlos Amri,Vyote vikiwa na thamani ya Milioni 1.6

Message from the President

Message from the President "Sauti za Busara is a very important initiative. It provides a great opportunity for both locals and visitors of different walks of life to meet and exchange ideas and appreciate the uniqueness, the wealth and diversity of the music from our region. In so doing the festival contributes to us building intercultural understanding and friendship" H.E. Jakaya M Kikwete, President of the United Republic of Tanzania

Rais wa Klabu ya Simba Ismail Aden Rage Kuwania Ubunge Tabora

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo Dar es Salaam, leo kuhusu nia yake ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo la Tabora mjini. (Picha na Francis Dande) Na Shaban Mbegu UONGOZI wa Simba, umetangaza jana ilimtangaza Katibu Mkuu mpya wa kuajiriwa, Evadus Mtawala ambaye atakuwa akifanya kazi zote za utawala za Klabu hiyo. Akizungumza Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Aden Rage alisema Mtawala amepewa kazi hiyo baada ya Kamati ya Utendaji ya Simba kuridhika naye. Alisema licha ya Mtawala kupewa jukumu hilo Kamati ya Utendaji pia ilimtangaza Deoniz Malinzi kuwa mlezi wa Klabu baada ya kuridhika na sifa alizonazo. Rage alisema Kamati hiyo pia iliwatangaza wadhamini wa Klabu hiyo kuwa Ramesh Patel, Hamisi Kilomoni, Mzee Abdulahib na Abbas Sykes ambaye amekuwa mdhamini tangu Klabu hiyo ilipoanzishwa. Akizungumzia wasifu wa Mtawala, Rage alisema kitaaluma ni mwanasheria na pia ni mtaalamu wa

Onesho Babu Kubwa la Kidumu Ladhaminiwa na Vodacom

Maracas kwa kushirikiana na Sophie Entertainment wanakuletea LIVE show ya Kidumu siku ya Ijumaa 25/06/2010 itakayofanyika pale Movenpick Royal Palm Hotel DSM kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Tiketi ni Tsh 15,000 tu. Show hii kali ya LAST FRIDAY ya mwezi huu wa sita inaletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa Isham Mobile Phones na Vodacom Tanzania.

Twaice As Nice Paty

MGD Presents: TWICE AS NICE PARTY. Spin out of control this Friday with East Africa's finest, Amo Blaze n da Homeboyz. Party starts after the game for only 5K.C U @ Sweet Easy

St. Marry ' Reunion Party For All Former Student

Rais Kikwete akutana na Bill Clinton Ikulu na Kuwaapisha majaji wa Mahakama Kuu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha majaji kumi wa mahakama ya Rufaa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Majaji walioapishwa ni pamoja na John Harold Utumwa,Samwel Victor Karua, Beatrice Rodah Mutungi,Richard Malima Kabela, Grace Kalonge Mwakipesile,Ama-Isario Ataulwa Munisi, Agnes Enos Bukuku, Mwendwa Judith Malecela, Haruna Twaibu Songoro na Dkt Fauz Abdallah Twaib.Katika picha Bibi Mwendwa Judith Malecela akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya ikulu Dar es Salaam. (picha na Freddy Maro)

Groove Back

Mambo ya zhong hua garden, Dj Peter moe & Kelvin.

ZIFF 2010 WORKSHOPS

ZIFF 2010 WORKSHOPS ZIFF has the pleasure to announce to East African Filmmakers that there will be 3 Workshops to be held during ZIFF between 10th and 18th July 2010. In order to attend please send your name and a short profile and a personal statement why you wish to attend the workshop. Selected participants will have to pay their way to Zanzibar but accommodation will be provided by the festival. CO-PRODUCTION WITH SWEDEN (Wednesday July 14th –9.30- 11.30) Following on the success of the Uganda-Sweden Coproduction Imani (by Caroline Kamya) CinemAfrica festival has organised for a Roundtable discussion with Co-producers and potential co-producers on Co-production opportunities with Sweden. The workshop will detail co-production opportunities with Sweden, where there is regional funding available for international co-productions, for example; Picture editing, Sound (tracklaying, mix), Visual effects, Grading and conform. There is also genuine interest from Swedish film makers and pro

Eric Shigongo Kuunguruma Mkutano wa Diaspora Marekani

Eric Shigongo Kuunguruma kwenye mkutano wa diaspora marekani mwezi ujao Bw. Eric Shigongo Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers & General Enterprises Ltd na mjasiriamali, Bw. Eric Shigongo, anatarajiwa kuhutubia nchini Marekani katika Mkutano maalum ulioandaliwa na Watanzania waishio nchini humo (Diaspora Council of Tanzanians in America - DICOTA). Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika kwa muda wa siku nne kuanzia Julai 1, mwaka huu katika jiji la Minneapolis, Marriott Hotel, Minnesota, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mh. Aman Abeid Karume, amealikwa kuwa mgeni rasmi. Viongozi wengine watakaohudhuria mkutano huo ni pamoja na maofisa waandamizi na wafanyabishara wakubwa kutoka Serikali ya Tanzania na Marekani. Aidha, Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Bw. Reginald Abraham Mengi, naye ni miongoni mwa wageni waalikwa wa mkutano huo ambao unafanyika kwa mara ya pili nchini humo ukiwakutanisha Watanzania waishio ughaibuni. Mada mbalimbali zitatolewa

Kesho Club Maisha Kufunguliwa Upya

Club Maisha inatarajiwa kufunguliwa upya Juni 24 mwaka huu, baada ya kufanyiwa ujenzi mkubwa kutokana na kuungua moto mwaka jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Entertainment Masters inayomiliki klabu hiyo, Francis Anthony Ciza (Majey), alisema klabu hiyo imefanyiwa ubunifu mkubwa ili kukonga nyoyo kwa kutoa burudani murua na ya uhakika kwa wateja wake. “Club Maisha inakuja katika mtazamo mpya kwa kutoa burudani za usiku Dar es Salaam iliyopambwa vizuri, sauti ya kutosha na inaipeleka Tanzania mbele katika kutoa burudani za usiku. “Baada ya miezi kadhaa wateja wetu kukosa burudani, klabu yao sasa inarudi ikiwa ni ya kisasa zaidi yenye televisheni 32 zitakazokuwa zikionesha fainali za Kombe la Dunia na video za muziki, sehemu mbili za kuchezea, vyumba viwili maalumu vya VIP, hii yote ni katika kuuweka kuwa ya kisasa,” alisema Majey. Vitu vingine vilivyopo katika Club Maisha ni pamoja na sehemu za kuvutia sigara, varanda ya juu, sehemu saba (7) za baa, jiko na TV kubwa inayoonesha fa

Zanzibar Intenational Film Festival

The Zanzibar International Film Festival is the biggest cultural event of its kind in East Africa. Now in its 13th year, ZIFF is a Zanzibari institution that focusses on African film while also celebrating the rich variety of culture from the region and beyond. “Tamasha,” (Kiswahili for "festival") is a truly African cultural experience with locals, tourists and film buffs all converging to watch the shows and soak up the atmosphere. The enchanting port of Stone Town is the Festival’s main venue in Zanzibar and is a UNESCO World Heritage Site. Films and concerts are held in an outdoor amphitheatre in the Old Fort which dates back to the 1600s. Films and exhibitions are also shown in other listed buildings around Stone Town such as former royal palace, The Africa House, and ceremonial palace, The House of Wonders. The 2010 Festival theme is "Hopes In Harmony".

Ni Makamzi ya Akudo Msasani Beach

WANENGUAJI wa bendi ya Akudo wakiwajibika . Bendi ya muzki wa dansi Akudo ikiwajibika jukwaani.

Tamasha la Mtemi Mirambo Laja Tabora

CHIEF Promotions imeandaa Tamasha la Ngoma za utamaduni liitwalo MTEMI MIRAMBO,lenye lengo la kukuza sanaa na kuvitangaza vikundi vya ngoma vilivyopo katika mkoa wa Tabora. Tamasha hilo litaanza kufanyika katika viwanja vya chipukizi Tabora kuanzia Tarehe 16 - 18 Julai,2010 kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Siku hiyo shughuli mbali mbali zitafanyika kama vile maonyesho ya ngoma za asili,Sarakasi,Ngonjera na Nyakula vya asili.mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Mh.Moshi Mussa Chang'a. Tamasha hili linakuja kwa udhamini mkubwa toka kwa kampuni ya TBL kupitia kinywaji chake cha Balimi,Bodi ya Utalii (TTB),Zain Tanzania na Merina Investment. Chief Promotions imesajiliwa mwaka 2003 na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na Baadae Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,na imefanya kazi na Mashirika mengi tu yakiwemo ya Umoja wa Matiaifa (UNAIDS,WHO,UNDP) na pia imefanya kazi na TBL,NSSF,TACAIDS na mengine mengi. kwa mawasiliano Amos Mk

Mkutano wa Wakaguzi wa Hesabu Wafunguliwa na Rais Karume

RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Fatma Mohammed Saidi,katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro KIA,na kuelekea Arusha kwa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Hesabu Tanzania,katika Ukumbi wa mikutano wa Naura Spirings Hoteli Mjini Arusha.PICHA NA RAMADHAN OTHMAN ARUSHA RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Amai Abeid Karume,akisalimiana na Viongozi na wageni waalikwa,alipowasili Naura Spirings Hotel Mjni Arusha kuufungua Mkutano wa Mwaka wa Wakaguzi wa Hesabu Tanzania , ulioanza leo . RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Amani Abeid Karume,akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wakaguzi wa Hesabu Tanzania , katika Ukumbi wa mikutano wa Naura Spirings Hoteli Mjini Arusha , jana.

Rais Kikwete Achukua Fomu Dodoma

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wanawe wakati Rais Kikwete akichukua fomu za ugombea Rais katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo asubuhi (picha na Freddy Maro) Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wanawe wakati Rais Kikwete akichukua fomu za ugombea Rais katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo asubuhi (picha na Freddy Maro) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha fomu kwa wanachama wa CCM muda mfupi baada ya kuichukua mjini Dodoma leo asubuhi.Pemebeni kulia akipiga makofi ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

FM Academia Kutumbuiza Redds Miss Ilala

BENDI ya muziki wa dansi nchni FM Academia itatumbuiza katika shindano la kumtafuta mrembo wa Redds Miss Ilala 2010 linalotarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaa juni 26 jumamosi ya wiki hii. Mwenyekiti wa kamati ya Miss Ilala, Jackson Kalikumtima,leo amesema mipango yote yako sawa juu ya bendi hiyo na pia msanii wa ngoma za asili Wanne Star atakuwepo katika kutoa burudani katika shindano hilo litakalokua la kuvutia kutokana na mikakati iliyowekwa kuhakikisha mambo yanakuwa makubwa. Aalizidi kufafanua kwa kwamba, wakati huu warembo wote wako safarini mkoani Tanga ambapo wanafanya ziara ya kimafunzo na tayari jana usiku walihudhuria shindano la Miss Tanga na pia wameshatembelea vivutio mbalimbali vya utalii kama vile mapango ya Amboni na kujionea mambo mbalimbali na leo wanatarajia kuanza safari ya kurejea jijini Dar es salaam. Alitaja kiingilio katika shindano hilo kitakuwa katika sehemu tatu ambazo vi VIP 1 shilingi laki 100.000 VIP2 shilingi elfu 50.000,

Mashindano ya Umiseta Yazindiliwa Kibaha

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) kwenye uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Juni 20, 2010. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Mghembe na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hajati Amina Mrisho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

jamesciarrochi2@gmail.com

Bellingham, MA Building Materials Supplier has immediate opening for Office/Admin. assistant for full time/part time position. M-F 8:00AM - 5:00 PM. Must be extremeley proficient in Quickbooks & Microsoft Office... Knowledge of Residential Construction Industry and Auto-CAD a plus. Responsibilities include: •Accounts Payable – entering and paying invoices •Accounts Receivable – entering invoices, sending monthly statements and collection phone calls as needed •Following up on past due invoices and bills. •Payroll – Tracking employee hours then call in to payroll service •Sales & Use Tax – report and pay •Bank deposits – create and record •Reconciling credit card and bank accounts •Filing and organizing •Answer phone and greet clients •Must be able to multi-task •Other administrative office duties as needed. Skills/experience/credentials required: •Organizations Skills a must •Should be a self-starter with the abilities to work independently •Computer skills: Quickbooks, Word,

Special Concert !

Please join other music lovers for an evening of captivating Oriental and Swahili tunes of the OUD & QANUN on Friday June 25, at the Dhow Countries Music Academy. Various soloists as well as ensembles, featuring Palestinian Oud-master Ibrahim Najem, will grace this special concert due to start at 8 pm! If you are in town and would like to secure your seats, tickets are already available at Memories of Zanzibar, Archipelago Café & Restaurant and at the DCMA Office. For more information about the event (incl. sponsorship opportunities for the future), please contact us through the address provided below. With many thanks to ZanAir Ltd., Memories of Zanzibar, Archipelago Café & Restaurant for their support. THE DCMA TEAM Old Customs Hse., Stonetown-Zanzibar Email: press@zanzibarmusic.org Tel: +255.24.2234050/ 077.7416 529/ Mobile (Marketing Manager) 077.3620202 Homepage: www.zanzibarmusic.org

Taswa Yagawa Tuzo Jana

TUZO za mwaka zinazotolewa na chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA , jana zilitolewa katika hotel ya ya New Africa jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mwenyekiti wa barazala michezo nchini Kanal Idd Kipingu , (Pichani) akimkabidhi Mwanaidi Hassan , mwanamichezo bora 2009 ambaye ni mchezaji wa Timu ya Netball ya JKIT Mbweni hafla hiyo ilifanyika usiku, Mwanaid aliwashinda wenzake 11 waliokuwa wakiwania tuzo hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Ltd . Mgeni rasmi katika tuzo za mwanamichezo bora wa mwaka wa chama cha waandishi wa habariza michezo TASWA ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la michezo nchini Kanali Idd Kipingu akimkabidhi tuzo yake mwanamichezo bora wa mwaka 2009 Mwanaidi Hassan ambaye ni mchezaji wa Timu ya Netball ya JKT Mbweni jana kwenye hafla iliyofanyika katika hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam baada ya kuwashina wenzake 11 waliokuwa wakiwania tuzo hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweri

ZFF Kutoa Tuzo Kwa Filam Bora za Kitanzania

ZANZIBAR International Film Festival (ZIFF) katika kuhakikisha inawapa nafasi wanatasnia ya filamu nchini imeamua kuongeza changamoto zaidi, kama awali ZIFF ilipoamua kufanya Swahili Day kwaajili ya kuonesha filamu za kitanzania tu na sasa imeamua kuoneza changamoto nyingine. Siku ya Swahili Day itakua ni tarehe 17 Julai, 2010 ambayo pia ni siku ya kutoa tuzo za ZIFF. "Tumeamua kuongeza kitu katika siku hii ili kuweza kuwazuta zaidi watengeneza filamu wa kitanzania, ili wajue jukwaa hili ni lao na pia ZIFF inawajali sana"- Daniel Nyalusi, Meneja wa Tamasha. ZIFF itatoa tuzo kwa Filamu Bora ya kitanzania na pia Tuzo ya muigizaji bora (Best Tanzania Feature Film and Best Tanzanian Actor/Actress), hii ni katika kuleta changamoto mpya kwa kiwanda cha filamu Tanzania. Tutatoa ratiba ya filamu zitakazo oneshwa siku hiyo na pia zitaingia moja kwa moja katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo. Mpaka sasa filamu zitakazo kuwemo ni Huba, Nani, Usaliti na Happy Caples, Pay Back, Black

Bado Kunakivumbi Kinatimuka !!!

TIMU vigogo toka Afrika zinatekeleza majukumu , uku nyingine zikichezea vichapo , mipango inabidi iwepo kwani tayari , timu vigogo toka katika bara letu la Afrika zinachemka kufungwa mabao.

Ni ni Bab Kubwa :Release Party Kwenye mjengo wa ROYAL TOWN BERGEN NORWAY .

The TMV INTERTAINMENT WAKIWA PAMOJA NA DJ WAO MACHACHARI DJ LION wanakuletea release party kesho tareh 19.06.2010 ndani ya ROYAL TOWN BERGEN NORWAY . Ni spesho party ya kitambulisha mix tape mpya kutoka kwa DJ lion ambayo imebeba 3 cds in one ikitambulika kwa jina la STREET HUSTLESRS. DJ LION ATASINDIKIZWA NA MA DJS WENGINE 4 :- DJ BIG D. DJ LAMMIN. DJ BIG LUV AND DJ ST TROPEZ ENTRANCE: KR 125. ENTRANCE INCLUDING CDS KR 170. PLACE: BIKS DOOR OPEN: 21:00 WADHAMINI : TMV , BIKS, TUFA GEAR, DJ LION, AND THEBATFLY.

Mng'aro Huu Afrika Kusini Shughuli Pevu

Ni Leo Dar es Salaam

BAADHI ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakionekana kula matunda ya ainaya Tikiti Maji , ni mchana katika barabara ya Mhonda na Msimbazi jijini .

Vodacom Kuchangia Elimu Inchini

Mkurugenzi wa Mauzo,Huduma za Kabla na Usambazaji wa Vodacom Bw.Exaud Kiwali (kulia)akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuchangia Elimu kupitia Vodafone m.pesa mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana kushoto ni Mkurugenzi wa uhamasishaji Rasilimali kutoka Mamlaka ta Elimu Tanzania Bw.Seif Mohamedi.(Picha na Zuberi Mussa) .

Polisi wa Usafiri wa Piki Piki Dar ni Chanzo cha Kutokomeza Uharamia

POLISI wanaotembea na usafiri wa Piki Piki wamekuwa wakifanya dolia yao kwa umakini katika mitaa na barabarani na hali hiyo imekuwa ikionekana kusaidia sana matukio ya uhalamia hususani Jijini Dar es Salaam.

Turkish Airline Yazinduliwa

ABIRIA wakishuka kwenye ndege ya Turkish Airline mara baada a uzinduzi wake Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam juzi Ndege hiyoinatazamiwa kufanya safari zake kati ya Uturuki na Dar es Salaam. WAKISHEREHESHA uzinduzi huo Juzi uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere juzi.

Floyd Mayweather

LAS VEGAS, Marekani OSCAR de la Hoya amesema kuwa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wanakaribia kukubaliana kuhusu malipo ya pambano kati yao ambalo linasumbiriwa kwa hamu. Awali ilikuwa ikihofiwa kuwa wawili hao hawataweza kupigana kutokana na kutoelewana kuhusu kufanyika kwa kupimo cha damu kitu ambacho kilisababisha kutofanyika kwa pambano lao Machi mwaka huu. Awalia Mayweather aliweka shari mpinznai kwa kupimwa damu mara kwa mara kabla ya pambano lama ilivyo katika mashindano ya Olimpiki kitu ambachi kilipingwa na kambi ya Pacquiao ikidai kuwa ni udhalilishaji. Lakini mkuu wa kampuni ya Golden Boy, De La Hoya amesema kwua kambi zote mbili zinajiandaa kmusaini mkataba. Alisema: "Siwezi kuzungumza kwa sasa kwandani kuhusu makubaliano lakini ninaweza kukuhakikishia kuwa wanakaribia sana. "Hadi sasa, huko nyuma ilikuwa ngumu katika kukubaliana kwa sababu nyingi lakini lakini sasa sasa inakaribia. "Ninafikiri kuwa kwa sasa tunakarinia sana kumalizia mikataba. &q

Maximo Awapa Wosia Watanzania

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Marcio Maximo ambaye anamaliza mkataba wake mwezi ujao, amesema Tanzania inahitaji kuwekeza zaidi katika soka la vijana kuliko la wakubwa kama ilivyo hivi sasa nchini. Akizungumza na Dar es Salaam jana, Maximo alisema kama kweli Tanzania inahitaji kupata maendeleo makubwa katika soka haina budi kuongeza mikakati kwenye soka la vijana ambalo ndiyo maendeleo ya mchezo huo katika miaka ya baadaye. Alisema japokuwa watu wengi wamekuwa wakimbeza kutokana na timu ya taifa kushindwa kucheza michuano ya kiamataifa, tangu alipotua nchini, lakini anajivunia mambo mengi aliyofanya, hasa katika kuhakikisha mchezo huo unaanzia chini kwa vijana wadogo ambao ndio chimbuko la wachezaji wa baadaye. Maximo alisema japokuwa muda wake wa kufanya kazi nchini umekwisha na tayari kocha mwingine wa kumrithi amepatikana, lakini kila siku atawashauri wadau wa soka wa hapa nchini kuwekeza zaidi katika vijana, kuliko kutegemea kupata mafanikio ya mapem

Gari Inauzwa

Toyota Hilux - Double CabUSD $13,000 ONO 2,7Di, 1998, SA registered (TZ duty not paid)Ready Mid August 2010Make: Toyota HiluxModel: Raider 2,7 (4x4), 1998CC: 2700Gearbox: 5 speed Manual, Selectable 4WD (H2/H4/L4), Differential Lock SystemFuel: PetrolRegistration: South Africa (TZ duty not paid)Location: Dar es Salaam, TanzaniaMileage: 370, 000kmCapacity: 5 persons Call07826898450655 940094

The late Prof. Haroub Othman

The late Prof. Haroub Othman It was Sunday 29th June 2009 at around 3.00 pm when messages from colleagues at the institute of development studies of University of Dar es salaam started flocking into my phone all reading ‘professor Haroub Othman is no longer with us’, ‘a great intellectual loss’, ‘our academic father has gone’ all of which trying to express the sorrowful loss of such a great guru not only in laws but also politics, diplomacy, economics, democracy, human rights and social welfares. While the government is struggling to widen access of more people to earn university education, the country is experienced another huge loss of its prominent intellectual resource that was expected to push forward the mission. In a three years time, following the death of comrade professor Chachage whose gap remains unfilled, the academic community was again thorned in almost the similar way because these are people we wish they could live longer for the current and future generation to benefi