WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) kwenye uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Juni 20, 2010. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Profesa Jumanne Mghembe na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hajati Amina Mrisho.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments