Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha
majaji kumi wa mahakama ya Rufaa katika hafla
iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.
Majaji walioapishwa ni pamoja na John Harold
Utumwa,Samwel Victor Karua, Beatrice Rodah
Mutungi,Richard Malima Kabela, Grace Kalonge
Mwakipesile,Ama-Isario Ataulwa Munisi, Agnes
Enos Bukuku, Mwendwa Judith Malecela,
Haruna Twaibu Songoro na Dkt Fauz Abdallah
Twaib.Katika picha Bibi Mwendwa Judith
Malecela akila kiapo mbele ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika viwanja vya ikulu Dar es
Salaam.
(picha na Freddy Maro)

Comments