Skip to main content

Serikali Kuchukua Juhudi za Makusudi Kuimarisha Huduma za Afya

SERIKALI imesema kwamba inachukua juhudi za makusudi kuimarisha vituo vya kutolea huduma za afya vilivyopo kwa kuviboresha na kuongeza idadi ya watumishi wa kada mbalimbali. Hayo yalisemwa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Aisha Kigoda wakati akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Esther Nyawazwa( CCM) lililouliza kuwa hospitali ya Wilaya ya Geita inahudumia kata 33 na ina madaktari bingwa wawili na upanuzi wake unasuasua je ni lini Serikali itarekebisha matatizo hayo.
Akijibu swali hilo Naibu Waziri huyo alisema Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi(MMAM) inachukua juhudi za makusudi kuimarisha vituo hivyo katika mwaka wa fedha wa 2010na 2011. hivyo hospitali hiyo inatarajia kupta madakatari wawili na madaktari wasaidizi watatu. Dk. Kigoda aliongeza kwamba ili kuboresha huduma za afya ziendane na ongezeko la idadi ya watu na kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya wilaya. halmashauri ya wilaya ya Geita imejenga kituo cha faya cha Nyankumbu kilichopo mjini Geita na kimeanza kutoa huduma za afya.
Alisema vituo viwili vya Kharumwa na Nzera vinaendelea kufanyiwa ukarabati ili kuvipanua viweze kuhudumia wagonjwa wengi zaidi.
Hata hivyo alisema kuhusu tatizo na utawala mbovu katika hospitali ya Geita Serikali inalifuatiali na kuhahakikisha watumishi wanafanya kazi kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa. Hospitali hiyo ina watumishi wenye taaluma mbalimbali 218 kati ya watumishi 504 wanaohitajika sawa na asilimia 56.7.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.