Na Lydia Churi, Maelezo-DodomaSerikali inaendelea kuzichunguza halmashauri mbalimbali nchini zinazotuhumiwa kutumia vibaya fedha za Umma. Baadhi ya halmashauri zinazochunguzwa kwa sasa ni pamoja na Halmashauri ya Rombo, Ileje, Kilosa,Ngorongoro,Arusha, Mwanga na Karagwe.Akijibu swali bungeni jana Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia alisema mtumishi yeyote atakayebainika kufanya ubadhirifu wa fedha za umma atachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi, kupunguziwa madaraka na kuonywa kutegemeana na aina ya kosa.Alisema pamoja na mambo mengine uchunguzi huo unafuatilia kwa karibu ubadhirifu kwa kukiuka sheria , kanuni na taratibu za fedha .Aidha Waziri Ghasia alizionya Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zimeendelea kutumia vibaya fedha za Umma kuwa kuanzia sasa mtumishi yeyote atakayebainika kufuja fedha za Umma serikali haitasita kumchukulia hatua kali.Ili kubaini kasoro mbalimbali za uendeshaji wa Halmashauri nchini, Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliagiza kufanyika kwa uchunguzi katika
Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO
By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...
Comments