Skip to main content

Ndovu Yapokea Tuzo na Kuwa Bia Bora Duniani

MENEJA wa Ndovu Oscar Shelukindo


Meneja wa Ndovu Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Mzee
Gaudence Mkolwe wanatarajiwa kupokewa kwa shangwe watapotua Dar
Jumatano Mchana na Gulf Air wakitokea nchini Ujerumani walikokwenda kupokea tuzo ya Monde

Selection baada ya bia ya
Ndovu Special Malt kushinda tuzo hiyo na kuwa bia bora duniani.

Comments