Mkurugenzi wa Mauzo,Huduma za Kabla na Usambazaji wa Vodacom Bw.Exaud Kiwali (kulia)akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuchangia Elimu kupitia Vodafone m.pesa mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana kushoto ni Mkurugenzi wa uhamasishaji Rasilimali kutoka Mamlaka ta Elimu Tanzania Bw.Seif Mohamedi.(Picha na Zuberi Mussa) .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments