
WAKIWA na Nyuso za Furaha ktoka kulia ni Dj Peter Moe na akiwa amejiachia katika pozi hilo na mdau wa disko la Zhonghua Gareden , katika usiku wa Groove Back ambapo kila usiku huo wa jumamosi linakuwepo disko katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi Dar es Slaam.
Comments