BENDI ya muziki wa dansi nchni FM Academia itatumbuiza katika shindano la kumtafuta mrembo wa Redds Miss Ilala 2010 linalotarajiwa
kufanyika kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaa juni 26 jumamosi ya wiki hii.
Mwenyekiti wa kamati ya Miss Ilala, Jackson Kalikumtima,leo amesema mipango yote yako sawa juu ya bendi hiyo na pia
msanii wa ngoma za asili Wanne Star atakuwepo katika kutoa burudani katika shindano hilo litakalokua la kuvutia
kutokana na mikakati iliyowekwa kuhakikisha mambo yanakuwa makubwa.
Aalizidi kufafanua kwa kwamba, wakati huu warembo wote wako safarini mkoani Tanga ambapo wanafanya ziara ya
kimafunzo na tayari jana usiku walihudhuria shindano la Miss Tanga na pia wameshatembelea vivutio mbalimbali vya
utalii kama vile mapango ya Amboni na kujionea mambo mbalimbali na leo wanatarajia kuanza safari ya kurejea jijini
Dar es salaam.
Alitaja kiingilio katika shindano hilo kitakuwa katika sehemu tatu ambazo vi VIP 1 shilingi laki 100.000 VIP2
shilingi elfu 50.000, na kawaida ambapo kiingilio kitakuwa ni shilingi elfu 10.00 kwa kila mtu, amewataka mashabiki
wa urembo kujitokeza kwa wingi katika shindano hilo kwani mwaka huu kiuna mambo mengi mapya ambayo watayaona na
kuyafurahia.

Comments