
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Staz) ikipokea maelekezo toka kwa Kocha Macsio Maximo asubuhi katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam , Staz inajiwinda kati ya mchezo wake wa kilafiki na timu tishio ya Brazil itakayopigwa Uwanja wa Taifa Juni 7 mwaka huu.

WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania wakifanya mazoezi kamambe leo , hapo pichani wanaonekana wakipiga push up chini ya Kocha Maximo leo asubuhi , katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

AKITETA na waandishi wa habari Maximo , katikati ni Mwani Nyangasa na Speiroza Joseph .

MAXIMO akiongea na wachezaji wake .

WAKITETA jambo hapa.
Comments