Skip to main content

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHIRIKI HISTORIA KABILA LA WASUKUMA


Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius Kiongozi

wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma Silaha za jadi

walizokuwa wanatumia Watemi hao Rais Kikwete alitembelea

makumbusho hayo na baadaye kushiriki kwenye sherehe za Bulabo

zilizofanyika kwenye uwanja wa Kisesa Magu Mkoani Mwanza.

Comments