RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali Fatma Mohammed Saidi,katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro KIA,na kuelekea Arusha kwa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Hesabu Tanzania,katika Ukumbi wa mikutano wa Naura Spirings Hoteli Mjini Arusha.PICHA NA RAMADHAN OTHMAN ARUSHA
RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Amai Abeid Karume,akisalimiana na Viongozi na wageni waalikwa,alipowasili Naura Spirings Hotel Mjni Arusha kuufungua Mkutano wa Mwaka wa Wakaguzi wa Hesabu Tanzania , ulioanza leo .
Comments