Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano kwenye Benki ya NMB Imani Kajula (kushoto) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Fredrick Mwakalebelakabla ya makabidhiano ya mfano wa hundi ya yenye thamani ya milion 15 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Taifa Stars na Brazil utakaofanyika Dar es Salaam hivi karibuni,Katikati ni Kocha wa timu ya Taifa Marcio Maximo.(Picha na Zuberi Mussa)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments