Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2016

Msichana mwenye umri wa miaka , 17, ajifungulia chooni Hospitali ya Amana, Dar

Msichana wa miaka 17 amejifungulia chooni katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia mtoto chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kumtaka aende kuoga na kubadilisha nguo bila ya kujali hali yake. Msichana huyo, Asha Sudi (17), mkazi wa Tabata Kisiwani, alikutwa na tukio hilo juzi wakati akisubiri kujifungua, na uongozi wa Amana umesema utalishughulikia suala hilo. Asha alisema alifika hospitalini hapo saa 4:00 asubuhi akiwa anaumwa na uchungu na alipofika mapokezi alikalishwa kwenye benchi. “Wakati nikiwa nimekaa kwenye benchi alikuja nesi akaniambia niende chooni nikaoge na kubadilisha nguo. Kwa sababu sikujua, nikaenda,” alisema Asha. Alisema akiwa chooni anajiandaa kuoga, uchungu ulikata ghafla na baada ya dakika chache aliona kitu kinaning’inia sehemu za siri kisha kikadondoka chini. Baada ya kuona hivyo,

Inatoka Facebook

Alex Mfikwa SENTENSI SABA ALIZOZITAMKA YESU AKIWA MSALABANI KABLA HAJAFA NI HIZI:- 1.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui watendalo. 2.Mama mtazame mwanao nawe mwana mtazame mama yako. 3.Msinililie mimi bali mjililie wenyewe na watoto wenu. 4.Eloi Eloi lama sabaktani-(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) 5.Naona kiu. 6.Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi. 7.Yametimia, Mikononi mwako baba naiweka roho yangu. Hapo akakata roho.Ukijaaliwa kupata vocha Wakumbushe watu jinsi Yesu alivyoteseka msalabani kwa ajili ya dhambi zetu nawe utabarikiwa.

MADRID KUCHEZA ‘MCHEZO MCHAFU’ KWA AVARO

REAL Madrid imebuni mpango wa kumnunua mshambuliaji wa Juventus, Alvaro Morata na kisha kumuuza bei mbaya kwa Arsenal ama Bayern Munich. Madrid ilimuuza Morata kwa Juve ‘Old Lady’ kwa pauni milioni 15.7 mwaka 2014, lakini ikaweka kipengele katika mkataba kwamba inaweza kumsajili tena straika huyo mwenye miaka 23 Julai 2016 au 2017 kwa ada ya pauni milioni 23.6. Mhispania huyo amekuwa kipusa tangu alipoondoka Bernabeu mwaka 2014, akifunga mabao 25 katika mechi 86 akiwa na jezi ya Juve, hali iliyoitamanisha Madrid kutaka kumrejesha nyumbani. Hata hivyo gazeti la AS la Hispania limeripoti kuwa mashabiki wa Madrid hawaonekani kupendezwa na kurejeshwa kwa straika huyo, hivyo klabu hiyo inaweza kumrejesha na mara moja kumuuza kwa bei mbaya. Inafahamika kuwa kuna klabu kadhaa zinazovutiwa na straika huyo hali inayompandisha thamani, zikiwamo Arsenal na Bayern Munich. Akizungumzia hali hiyo, Morata alisema anachotaka ni kuona wapi anaangukia. “Nataka suala hili la kununuliwa tena au la kumali

Playboy huenda ikauzwa

Kampuni inayochapisha majarida ya picha za utupu ya Playboy huenda ikauzwa, ripoti nchini Marekani zinasema. Kampuni hiyo ya Playboy huenda ikauzwa zaidi ya $500m (£354m), kwa mujibu wa duru zilizonukuliwa na mashirika ya habari yakiwemo Wall Street Journal na Financial Times. Home Entertainment Life Style Taarifa hizo zimetokea wiki chache baada ya jarida hilo kutangaza lingeacha kuchapisha picha za utupu likisema ‘haziuzi’. Mauzo ya majarida hayo yameshuka sana na kufikia 800,000 mwaka jana kutoka 5.6m mwaka 1975. Ripoti zinasema Investment bank Moelis & Co imeteuliwa kusimamia uuzaji wa biashara ya majarida hayo. Bw Hugh Hefner alianzisha Playboy mwaka 1953 huku mwigizaji mashuhuri Marilyn Monroe akiwa wa kwanza kupamba ukurasa wa jarida hilo ulioitwa "Playmate of the Month." Jarida hilo lilipata umaarufu upesi sana. Taarifa za kifedha za kampuni hiyo huwa hazipatikani kwa urahisi hasa baada ya Bw Hefner na kampuni ya uwekezaji ya Rizvi Traverse

Gigi Money na mtandao wa Instagram

Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, sheria zake mwenyewe na maamuzi yake mwenye Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, sheria zake mwenyewe na maamuzi yake mwenyewe.. kimsingi hadi kieleweke! Ndio maana ameendelea kuwa controversial kwenye Instagram na watu wamemzoea hivyo na hilo ndilo lililompa jina, hakuna kingine! Wiki hii ameamua kumwaga radhi kwa kupost picha hizo chini.

Rais Magufuli amteua Dkt. Ayub Rioba kuwa Mkurugenzi Mkuu TBC

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Rais John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Ayub Rioba Chacha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Dkt. Ayub Rioba anachukua nafasi iliyoachwa na Clement Mshana ambaye amestaafu. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Ayub Rioba Chacha alikuwa Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Dkt. Ayub Rioba Chacha pia ni mwanasafu wa muda mrefu wa gazeti la Raia Mwema. Dkt. Ayub Rioba Chacha Mbali na uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua Profesa Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Profesa Kahyarara anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Ramadhan Dau aliyeteuliwa kuwa balozi mapema mwezi huu na Rais Magufuli. Rais John Magufuli pia amemteua Dkt. Mussa Iddi Mgwatu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO). Dkt. Mgwatu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhandisi Benhad

Wakali Majuu kufanya kollabo

Kwenye kurudi kwake kwenye game la hiphop rapa LL Cool J ameweka wazi kuwa amefanya collabo na rapa Eminem. LL Cool J anasema Eminem amesharekodi sehemu yake kwenye wimbo huo, Kuhusu urafiki wao Ll Cool J anasema hakumbuki vizuri mara ya kwanza kukutana na Eminem ila anaimani kuwa Slim Shaddy ni mwanafunzi mzuri sana wa muziki wa hiphop.

Everton v Arsenal katika Uwanja wa Goodison Park

Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez Arsenal inacheza na Everton iliyopo alama 11 nyuma ya vinara Leicester. Kikosi cha Arsene Wenger kimetolewa Kombe la FA na Ligi ya Mabingwa. Mshambuliaji wa Everton Romelo Lukaku Everton wana matumaini ya kufanya vizuri kufuatia ushindi wao dhidi ya Chelsea. Vikosi Everton XI: Joel; Coleman, Funes Mori, Jagielka, Baines; Besic, McCarthy; Lennon, Cleverley, Barkley; Lukaku Akiba: Howard, Stones, Kone, Niasse, Deulofeu, Osman, Galloway Arsenal XI: Ospina; Bellerin, Koscielny, Gabriel, Monreal; Coquelin, Elneny; Iwobi, Ozil, Sanchez; Welbeck Akiba: Macey, Gibbs, Mertesacker, Chambers, Campbell, Walcott, Giroud Mechi itaanza saa 09:45 mchana katika Uwanja wa Goodison Park

PHD adai kubadilisha namba ya simu zaidi ya mara 50, mademu wanazidi kumsumbua

Hemedy Msanii wa filamu na muimbaji wa R&B, Hemedy PHD amesema usumbufu anaoupata kwenye simu yake ni... Kim Kardashian ajitangaza kufanya mapenzi mara 500 kwa siku kwenye video promo ya kipindi chake Wema Sepetu azua kihoja baada ya kutajiwa jina la Diamond Platnumz! Wema Sepetu akanusha 'Ntampata Wapi' yake Diamond Platnumz kuwa aliimbiwa yeye, Msikilize hapa Msanii wa filamu na muimbaji wa R&B, Hemedy PHD amesema usumbufu anaoupata kwenye simu yake ni mkubwa kiasi ambacho humfanya abadilishe namba za simu kila mara. Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa anashindwa kutambua watu hao wanaipataje namba yake na kuanza kumsumbua. Nasumbuliwa sana mwanangu, dah mpaka noma, sijui hata nisemeje,” anasema Hemedy. “Meseji 600 kwa siku ni kitu cha kawaida. Sielewi tatizo ni nini, ukiona nalalamika hivi ujue naumia. Mpaka nikipigiwa huwa nafikiria kupokea simu. Mama yangu anapata usumbufu sana kwenye kusave namba yangu. Namba hii ni ya h

Je wajua sababu ya Will Smith kuto tukana kwenye nyimbo zake

Kwenye interview aliyofanyiwa mwaka 2015 rapa Will Smith alisema “Nilianza kupenda na kutaka kurap nikiwa na miaka 12,nilianda kuandika mashairi mwaka huo kwenye kitabu changu kidogo ” Kwanini Will Smith hajawahi kutukana kwenye nyimbo zake ? "Bibi yangu alikuta kitabu changu cha mashairi na kusoma baadhi y nyimbo zangu,hakusema lolote ina alichukua kitabu hicho na kuandika nyuma kabisa kwenye kurasa ya mwisho, Dear Willard ‘ Truly intelligent people do not have to use words like this to express themselves. Please show the world that you’re as smart as you think you are ’ akimaanisha watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hawatumi maneno kama haya kuelezea mitazamo yao, tafadhali onyesha dunia unaakili kama unavyofikiria". Toka siku hio sikuwahi kupanga kutukana kwenye muziki wangu.

Ushindi wa Trump ni hatari kwa dunia

Trump anaongoza miongoni mwa wagombea wa Republican Shirika moja la kimataifa limesema ushindi wa Donald Trump unachukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 kuu zaidi zinazokabili dunia. Shirika hilo la Economist Intelligence Unit linaonya kuwa iwapo Bw Trump atashinda urais Marekani, hilo huenda likavuruga uchumi wa dunia na kuongeza hatari za kisiasa na kiusalama dhidi ya Marekani. Hata hivyo, shirika hilo halimtarajii Bw Trump, anayeongoza kwenye kinyang’anyiro cha kumchagua atakayepeperusha bendera ya chama cha Republican, kumshinda Bi Hillary Clinton ambaye shirika hilo linasema "ana uwezekano mkubwa sana kuwa mgombea wa chama cha Democratic". Ushindi wa Trump unaorodheshwa kuwa hatari zaidi kwa dunia kushinda hata Uingereza kuondoka kutoka kwa Umoja wa Ulaya au hata makabiliano ya kivita katika bahari ya South China Sea

Balozi Juma Mwapachu

  Balozi Juma Volter Mwapachu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wilayani Hai (UVCCM), Arnold Swai amepinga ya kurejea ndani ya chama hicho kwa mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Juma Mwapachu. Balozi Mwapachu, juzi alitangaza kurejea CCM kwa madai ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Magufuli. Akizungumza na wanahabari jana mkoani hapa,Swai alisema kuwa chama hakipaswi kumpokea mwanasiasa huyo kwa madai kuwa ni msaliti huku akienda mbele zaidi na kutaka waliompokea wachukuliwe hatua za kinidhamu kwa mujibu wa kanuni za chama. “Ni lazima tujiulize, hivi mwanadiplomasia huyo angekuwa tayari kurejea CCM kama mgombea urais wa UKAWA, Edward Lowassa angeshinda urais?” alihoji na kuongeza: “Hatuwezi kumpokea msaliti kama huyu, wakati chama kilipokuwa kwenye mapambano aliondoka tena kwa kejeli, leo chama chetu kimesimama imara chini ya mwenyekiti wetu Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ndio anarudi na wimbo uleule kwamba cham

Drinkwater ndani ya kikosi chake cha Euro 2016

Kocha wa Uingereza Roy Hodgson Roy Hodgson amemuita kwa mara ya kwanza kiungo wa Leicester City Danny Drinkwater, kwa ajili ya kikosi chake cha Euro 2016. Drinkwater amekuwa kiungo muhimu Leicester inayopigania taji, na sasa anajiandaa kuonyesha kuwa anastahili nafasi katika kikosi cha Uingereza kitakachocheza mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani (Machi 26) na Uholanzi Machi 29. Mechi hizo mbili zitatumika kama mchujo wa mwisho kabla Hodgson hajatangaza kikosi cha watu 23 kwa ajili ya Euro 2016 nchini Ufaransa kwenye majira ya joto, wamo washambuliaji watano, akiwemo Danny Welbeck na Daniel Sturridge. Danny Drinkwater wa Leicester City ameitwa kwenye kikosi cha England kwa mara ya kwanza Kikosi kamili; Makipa: Butland, Forster, Hart Mabeki: Bertrand, Cahill, Clyne, Jagielka, Rose, Smalling, Stones, Walker Viungo: Alli, Barkley, Dier, Drinkwater, Henderson, Lallana, Milner, Sterling Washambuliaji: Kane, Sturridge, Vardy, Walcott, Welbeck

Trump akwama Chicago

Mgombea uteuzi wa urais kupitia chama cha Republic Donald Trump Mkutano wa mgombea uteuzi wa chama cha Republic nchini Marekani Donald John Trump katika jimbo la Chicago umeahirishwa kufuatia maandamano. Mkutano huo uliahirishwa kutokana na sababu za kiusalama baada ya bilionea Trump kukutana na maafisa wa usalama katika eneo hilo. Mtu mmoja alichana tangazo la kampeni za Donald Trump mjini Chicago Mamia ya waandamanaji hao wengi wao wenye asili ya Kiafrika na Kilatini walighadhabishwa na matamshi ya Trump kuwahusu wahamiaji nchini humo. Wakosoaji wa Trump wameshutumu kwa kuchochea taharuki kwenye kampeini zake. Mwandamaji mmoja Anthony Cage alipigwa baada ya kuibuka fujo baina ya wafuasi na wapinzania wa Trump mjini Chicago Mwaka 1968 ghasia zilikumba uteuzi wa chama cha Democrats katika jimbo hilo hilo ulioandaliwa wakati ambapo kulikuwa na mgawanyiko nchini humo kuhusu vita vya Vietnam. Ni ghasia baina ya wafuasi na wapinzani

tiffah

Ben Carson amuunga mkono Donald Trump

Carson na Trump Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha Republican Ben Carson amethibitisha kwamba anamuunga mkono aliyekuwa mpinzani wake Donald Trump katika kinyang'anyiro cha urais nchini Marekani. Carson alimuidhinisha katika mkutano wa pamoja na wanahabari mjini Florida huku Trump akiwa anaongoza katika kura ya mchujo wa kumtafuta atakayewania urais kupitia chama hicho kabla ya Jumanne kuu. Bwana Carson ,aliye kifua mbele aling'atuka wiki iliopita baada ya kushindwa kuungwa mkono. Ni mgombea wa pili kumuidhinisha bwana Trump baada ya Gavana wa jimbo la New Jersy Chris Christie. BBC

Je wamjua Kocha mpya Newcastle

  Rafa Benitez ndio kocha mpya wa Newcastle Rafa Benitez amesaini mkataba wa miaka mitatu Newcastle. Benitez ana kibarua cha kuibakisha klabu hiyo ya St. James Park Ligi Kuu. Benitez ameanza kwa kasi Newcastle Uteuzi wa Benitez umesifiwa kuwa ni mzurim Newcastle. Mhispania hiyo hana muda wa kupoteza kwani ana malengo ya kuifanya klabu hiyo icheze msimu ujao. Msimamo wa Ligi Kuu kwa Newcastle Rafa Benitez amechukua nafasi ya Steve McLaren kutupiwa virago vyake. Rafa Benitez amekabidhiwa Newcastle baada ya McLaren kufurushwa MECHI ZA NEWCASTLE March 14 Leicester City (A) March 20 Sunderland (H) April 2 Norwich City (A) April 9 Southampton (A) April 16 Swansea City (H) April 23 Liverpool (A) April 30 Crystal Palace (H) May 7 Aston Villa (A) May 15 Tottenham (H) TBC Manchester City (H) Rafa Benitez akiwa na jezi ya Newcastle TAARIFA BINAFSI ZA RAFA BENITEZ 1993-1995 Real Madrid B Win percentage: 38.71 1995-1

Mrithi wa Dk Slaa kujulikana leo

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema Katibu mkuu mpya wa Chadema atajulikana leo wakati Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe atakapowasilisha jina la mtu anayempendekeza kushika wadhifa huo. Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalim alisema jana kuwa jina hilo linatarajiwa kuwasilishwa mbele ya kikao cha Baraza Kuu kinachoanza hapa leo. Moshi mweupe kuhusu jina la katibu mkuu mpya utaonekana Jumamosi mchana (leo). Mimi na Naibu Katibu Mkuu mwenzangu John Mnyika tuko tayari kumpokea bosi mpya,” alisema Mwalimu. Katika kikoa chake na waandishi wa habari kilichohudhuriwa na Mnyika, Kaimu Katibu Mkuu huyo alisema hadi sasa, hakuna yeyote miongoni mwa viongozi na wanachama wa Chadema anayejua kwa hakika nani atarithi mikoba hiyo iliyoachwa na Dk Willibrod Slaa zaidi ya Mbowe. Alipoulizwa jana, Mbowe hakutaka kuzungumzia suala hilo kwa undani zaidi ya kuahidi kumteua katibu mkuu atakayemudu kubeba dhamana ya

PSG vs Chelsea jana nishida tuuu

  Ligi ya Mabingwa barani Ulaya, iliyochezwa usiku wa jana Jumatano kwenye viwanja viwili tofauti,  ikiwemo uwanja wa Stamford Bridge uliyopo jijini London na Petrovsky uliopo nchini Urusi . Jiji la London,  wenyeji Chelsea walikichezea kichapo  cha pili mfululizo toka kwa PSG kutoka jijini Paris nchini Ufaransa kwa kufungwa bao 2-1, Mchezaji wa PSG, Ibrahimovic akishangilia bao lake aliloifungia PSG  dhidi ya Chelsea usiku wa jana kufanya matokeo 2-1.

Mrithi wa Dk Slaa bado siri ya Mbowe

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Siri ya mtu atakayerithi nafasi ya katibu mkuu wa Chadema iliyoachwa wazi na Dk Willibrod Slaa, bado ni ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Kwa mujibu wa ibara ya 7 (13)(b) ya Katiba ya Chadema, mwenyekiti wa chama ndiye anayetakiwa kupendekeza majina mawili kwenye kikao cha Baraza Kuu ambacho hupiga kura kumchagua katibu mkuu kati ya wawili yao. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na ofisa wa habari wa Chadema, Tumaini Makene juzi, kikao cha Baraza Kuu kitafanyika Machi 12 jijini Mwanza, kikitarajia kupokea majina hayo mawili na kuchagua mojawapo kwa ajili ya kuziba nafasi ya Dk Slaa aliyejiuzulu siasa za vyama tangu Septemba Mosi, 2015. Kikao cha baraza hilo kitafuatiwa na Kamati Kuu Machi 13 na Machi 14 kutakuwa na kikao cha Sekretarieti. “Bado natafakari suala hilo,” alisema Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa tatu wa Chadema tangu ianzishwe mwaka 1992. Dk Slaa, ambaye aliibukia kuwa katibu mkuu mwen

Nida yatimua wafanyakazi 600, wengine 800 kufuata

Mamlaka ya Vitambulisho imevunja mikataba ya wafanyakazi wake 597 kutokana na ufinyu wa bajeti na ufanisi mdogo katika kuzalisha vitambulisho vya taifa. Mamlaka hiyo itapitia upya majukumu ya wafanyakazi wengine 802 wa kudumu ili kuendana na majukumu yaliyopo. Kama itabainika idadi bado ni kubwa, watarudishwa wizara ya utumishi kwa ajili ya kupangiwa majukumu mengine. Akizungumza na waandishi wa habari jana, jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Nida, Dk Modestus Kipilimba alisema mamlaka hiyo imekuwa na wafanyakazi wengi, lakini kazi iliyokusudiwa ya kutengeneza vitambulisho vya Taifa haifanyiki kikamilifu. Dk Kipilimbi alisema wafanyakazi 1,399 waliopo Nida walitakiwa kuzalisha vitambulisho 24,000 kwa siku, lakini waliweza kuzalisha vitambulisho 1,200 kwa siku nchi nzima ambayo ni sawa na asilimia tano. “Kuanzia leo (jana) ninawatangazia watumishi wa mkataba kwamba Nida hakuna kazi kwa sasa. Tutapitia upya masharti ya mikataba yao na ku

The Neghesti Sumari Foundation hosts International Women’s Day Congress

The Neghesti Sumari Foundation hosted a panel discussion on progress towards parity on March 7th. This was done in honor of the International Women’s Day. The congress took place in the Buni hub which is based at Costech Building in Dar es Salaam. The panel consisted of Dr.Ester Mwaikambo, Monica Joseph, Dorice Mollel, Anna Mghwira. The main topic was about Women equality in todays’ society. I agree with this especially when it comes to the choices of subjects,career and how to live life. Yes,little girls may have dreams but when they are women they have visions. And this visions can only be made if one focuses on them and shut down the odds. It is an ambition for every woman to shine in life but most of the time it is a challenge.Is it because of the male gender or fear to be perceived differently in terms of culture. It was a discussion that motivated women to be free to do something new and they also came with various ways to grow and d

Maalim Seif aeleza kilichomsibu

Maalim Seif Shariff Hamad akiwa katika Hospitali ya Hindu Mandal Siku moja baada ya kuugua ghala na kulazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu (ICU), katika Hospitali ya Hindu Mandal, Dar es Salaam, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema uchovu wa safari ni chanzo cha afya yake kuzorota. Maalim Seif, ambaye jana aliruhusiwa kutoka hospitali, amesema alikuwa anasumbuliwa na uchovu wa safari, baada ya kutoka India, alikokuwa amekwenda kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo. Akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo jana, Maalimu Seif alisema hali yake iko imara, baada ya kupatiwa vipimo hospitalini hapo. “Niko fiti kama mnavyoniona, Ninaweza kutembea kutoka hapa hadi Kibaha,” alisema Maalim Seif. Alisema wiki iliyopita alikuwa nchini India kwa ajili ya matibabu na alirejea nchini Ijumaa na kwenda moja kwa moja Zanzibar. “Jana (juzi) wakati nikija jijini hapa kwa ajili ya ratiba zangu za vikao kwa jioni,

Lupela ya Alikiba

Msikilize Peter Okoye

New Music: Peter Okoye – Looking to my Eyes

Dr. Magufuli amtembelea Maalim Seif hotelini

Rais John Magufuli akimjulia hali Maalim Seif Shariff Hamad katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika holeti ya Serena leo Jijini Dar es Salaam. Maalim Seif yupo hotelini hapo kwa mapumziko baada ya kutolewa hospitali ya Hindu Mandal jana jioni alipokuwa amelazwa. Maalim Seif Shariff Hamad akiongozana na Rais John Magufuli Maalim Seif amewahakikishia Watanzania kuwa afya yake inaendelea vizuri na kwamba anaendelea na shughuli zake na siku chache zijazo ana matumaini ya kurejea katika hali yake ya kawaida. Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad alilazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku tatu baada ya kutoka nchini India kimatibabu.

Mkopi wa timu ya Tanzania Prisons ndiye mchezaji bora wa Februari

Afisa habari wa TFF Baraka Kizuguto Mshambuliaji Mohamed Mkopi wa timu ya Tanzania Prisons amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Februari kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2015. Mkopi katika mwezi huo uliokuwa na raundi nne, alicheza mechi zote nne za timu yake dhidi ya Mbeya City, Yanga, Mwadui na Mgambo Shooting. Alitoa mchango mkubwa kwa timu yake katika mechi hizo ambapo zote ilitoka sare, hivyo kupata jumla ya pointi nne. Katika mechi hizo ambapo Tanzania Prisons ilifunga mabao matatu, Mkopi alifunga bao moja na kusaidia kupatikana mabao mengine mawili. Mshambuliaji huyo ambaye mpaka sasa amefunga mabao sita kwenye Ligi hiyo, aling’ara zaidi katika mechi mbili kati ya hizo nne ambapo alichaguliwa kuwa mchezaji bora. Mkopi ambaye ni mshambuliaji wa kati alichaguliwa mchezaji bora kwenye mechi dhidi ya Mwadui iliyochezwa mkoani Shinyanga, na ile dhidi ya Yanga iliyofanyika Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya. Kwa kunyakua tuzo ya mche

Msome Mjengwa anavyosema

Kwenye Nchi Ya Kusadikika Majipu Yanatumbuana Yenyewe..! Ndugu zangu, Nchi ya Kusadikika kamwe haiishiwi maajabu. Wasadikika wamo kwenye mkanganyiko mkubwa ambao haujapata kutokea tangu kuundwa kwa taifa la Wasadikika. Mwanafalsafa mashuhuri wa Nchi ya Kusadikika aitwaye Shaaban Robert alipata kubashiri mengi yanayotokea sasa kwenye Nchi Ya Kusadikika. Shaaban Robert miaka 80 iliyopita alipata kuelezea moja ya sifa za Wasadikika, kwamba hutafuta fimbo baada ya kuumwa na nyoka. Kwamba wanaweza kumwona nyoka lakini wasihangaike kutafuta fimbo ya kumpigia mpaka nyoka atawauma na kuwaachia sumu kali. Ndipo hapo Wasadikika hukumbuka fimbo. Wasadikika wamempata kiongozi wao mkuu aliyeamua kupambana na nyoka wote wa Nchi Ya Kusadikika kabla hawajaleta madhara. Wasadikika wana

Soma marufuku hii

Soma hii kuhusu simu bandia

Nyota maarufu wa soka wasababisha kifo India

Mtu mmoja ameuawa baada ya kubishana na rafiki yaje juu ya nani ni mchezaji bora wa dunia kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Raia mmoja wa Nigeria Michael Chukwuma, 21, alimchoma visu mwenzake Obina Durumchukwu katika mtaa mjini Mumbai, polisi wa India walisema. Tukio hilo lilitokea kufuatia sherehe ya Jumamosi usiku. “Walikuwa wakijadili kuhusu wachezaji soka. Mmoja ni shabiki wa Messi, mwingine alikuwa ni wa Ronaldo,” alisema polisi mchunguzi. Lionel Messi ameshinda tuzo Ballon d’Or mara tano “Kuliibuka fujo wakati wa mazungumzo. Marehemu alirusha glasi usoni mwa mshtakiwa. Glasi ilipasuka na kusababisha majeraha kidogo usoni.” “Baada ya hapo mshtakiwa alichukua glasi na kumshambulia nayo marehemu ambaye alifariki kutokana na kuvuja damu nyingi.” Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara tano, huku Cristiano Ronaldo akiondoka nayo mara tatu.

Kampuni ya kitanzania iliyotoa washinndi wa tuzo za Africa Magic 2016

 Baadhi ya wadau na wapenzi wa filamu wakiwa uwanja wa ndege wakimsubiri kumpokea Mshindi wa Tunzo ya Filamu bora ya Kiswahili Single Mtambalike katika shindano la Africa Magic lililofanyika nchini Nigeria Mwishoni mwa wiki wapenzi wakisubiri mshindi Familia ya Single Mtambalike akipokelewa na familia Mwakilishi wa Proin Promotions.Josephat Lukaza akiongea na wanahabari kuhusiana na filamu za Proin kunyakua tunzo hizo katika Kinyangiro cha AMVCA2016.Picha Zote na Josephat Lukaza.